Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,345
- 4,633
- Thread starter
- #81
Yeah and makes more logical sense than most theories we have heard.It's just a theory
Yeah and makes more logical sense than most theories we have heard.It's just a theory
Later on nta update hii thread boss 🤜Mdau ungemwaga hiyo big bang theory nasi tujifunze...
Ila ina changamoto kidogo, kama big bang ndio mwanzo wa ulimwengu na mwanzo wa space and time, je hilo tukio lilitokea wapi wakati hakukuwa na space.Yeah and makes more logical sense than most theories we have heard.
Yeah sahihi still this theory Ina short coming zake. Ingawa it makes more sense that most theories pia inaweza kuwa proved it happened.Ila ina changamoto kidogo, kama big bang ndio mwanzo wa ulimwengu na mwanzo wa space and time, je hilo tukio lilitokea wapi wakati hakukuwa na space.
Kuna theory ya inflation na buble universe ndio zina make sense, kwamba big bang sio mwanzo wa kila kitu ila ni mwanzo wa ulimwengu wetu na kuna big bang nyingi zilishatokea na zitatokea bila mwisho
Sasa Je, hiyo big giantic body yenyewe ilitokea wapi?It is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
😁Mpasuko wa dunia unayoishi kwamba ilianza km Nukta tu kisha ikapasuka pwaa na kua km ilivyo
😀A real thing, my foot! Wewe ulikuwepo?
🤣Naona hatimaye Daudi umemaliza utafiti wako 😅🤝🏽
James Webb Space Telescope unaifaham?Hakuna anaejua, alie wahi kujua, atakae wahi kujua, Dunia ilianza vipi? Sio Dini wala Sayansi yenye majibu sahihi ya nini chanzo cha Dunia/uhai.
Tuendelee tu kulishana matango pori maisha yaendelee.
Hamna anayejua kila mtu ana lake though Bing Bang is real na hadi sasa Kuna cosmic microwave background zipo angani na zinapimwa na vifaa mbalimbali.Sasa Je, hiyo big giantic body yenyewe ikitokea wapi?
na hiyo temperature ilitokea wapi pia (nini ilikuwa source ya hiyo temperature) ?
👀Hamna anayejua kila mtu ana lake though Bing Bang is real na hadi sasa Kuna cosmic microwave background zipo angani na zinapimwa na vifaa mbalimbali.
Universe ndio ulimwengu.👀
👃🏽
👅
Wewe unamaanisha nini, ukisema neno "ulimwengu"?
Je, ni:-
1. Planet earth?
2. Universe?
Tuanzie hapo kwanza, maana ninayo maswali lundo
Halafu. . .Nilipiga Bachelor of Arts (BA) in Economics chuo pendwa mkuu. 😁
Halafu. . .
Mkuu, kitu hakiwezi kuwa real na theory at the same time,.. Ukisema Big bang ni real basi inabidi utuambie ni research gani umefanya mpaka ukaamua kuhitimisha hivyo,.Yeah sahihi still this theory Ina short coming zake. Ingawa it makes more sense that most theories pia inaweza kuwa proved it happened.
Ina evidence nyingi mno bro, Bing Bang happenedMkuu, kitu hakiwezi kuwa real na theory at the same time,.. Ukisema Big bang ni real basi inabidi utuambie ni research gani umefanya mpaka ukaamua kuhitimisha hivyo,.