Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

Hii yote ni kiwewe cha Yanga kutawala soka la Tanzania. Ila kiuhalisia Simba ana timu nzuri tu inayohitaji muda nq support ya mashabiki ili irudishe makali yake.

Yanga tumepitia kipindi kigumu hadi kutembeza bakuli lakini hatukuwahi kutaka kuwadhuru viongozi wetu.

Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kishamba na kifala.
Hivi wewe ni shabiki wa yanga kweli?
Lloyd Nchunga alikuwa mwenyekiti wa yanga alikuwa mpuuzi kama Mangungu na aligoma kujiuzuru,mashabiki wa yanga wakaenda kumfuata kwake,siku inayofuata mwenyewe akaachia ngazi..
 
We kipapa, pale Yanga hamjawahi kupiga Viongozi wenu? Au wewe ni mtoto wa 'afu' 2?
Kipapa ni kiongozi wa juu wa kanisa katoliki Duniani, hivyo nashukuru kwa kunisifia.

Lakini bado umeendea kuonyesha jinsi gani mashabiki wa Simba mulivyo mbumbumbu - yani kwakua yanga walishawahi kumpiga kiongozi wao (mimi sina uhakika na tukio hilo) na nyinyi mashabiki wa Simba mumeamua kumpiga kiongozi wenu.

Hicho ni kiwango cha juu cha upumbavu.
Nikikuita mbumbumbu nitakua nakosea?
 
Hivi wewe ni shabiki wa yanga kweli?
Lloyd Nchunga alikuwa mwenyekiti wa yanga alikuwa mpuuzi kama Mangungu na aligoma kujiuzuru,mashabiki wa yanga wakaenda kumfuata kwake,siku inayofuata mwenyewe akaachia ngazi..
Walimpiga sio?
 
Kipapa ni kiongozi wa juu wa kanisa katoliki Duniani, hivyo nashukuru kwa kunisifia.

Lakini bado umeendea kuonyesha jinsi gani mashabiki wa Simba mulivyo mbumbumbu - yani kwakua yanga walishawahi kumpiga kiongozi wao (mimi sina uhakika na tukio hilo) na nyinyi mashabiki wa Simba mumeamua kumpiga kiongozi wenu.

Hicho ni kiwango cha juu cha upumbavu.
Nikikuita mbumbumbu nitakua nakosea?
Sibishani na kitoto cha juzi kilichoanza kufuatilia soka baada ya Uwanja wa Mkapa kujengwa.
 
Sawa we mzee ulieanza kufatilia mpira kwenye mbili saba saba.
Lakini hili halibadilishi kitu kuwa wewe ni mbumbumbu (kwa mujibu wa Aden Rage)
Hivi nikikuuliza kosa la Mangungu ni lipi lililo pelekea jana mumfanyie fujo utanieleza?
Mbona timu ikishinda ama ikisajili hamumsifii badala yake sifa zote zinaenda kwa muekezaji.
Lakini timu ikifungwa lawama matusi na vitisho munavipeleka kwake mzee wa watu (Mangungu).

Hivi huo sio umbumbumbu?
 
Mbumbumbu mama yako.

Sikia, kitu ambacho hukijui ni kuwa ile ya jana ni reaction inayoonyesha Wanachama hawamkubali Mwenyekiti na baadhi ya Viongozi. Yule Mwenyekiti ana majibu mabovu we hujui tu. Unakumbuka Ile siku anaahirisha kikao baada ya kuona anaulizwa maswali mengi?

Labda jambo linalofanana na hilo ni hili; kwanini Watanzania wengi mlitaka SSH atoke madarakani? Ndo anayesababisha mvua isinyeshe? Alikuwa anakuletea sahani ya ugali sasa ameacha?

Hapo utangundua kwamba wewe Kiongozi ukishawakera watu mahala fulani, jambo lolote likitokea lawama zinaelekezwa kwako hata kama huhusiki. Busara hapo ni kuachia ngazi.
 
Screenshot_20260202-110655_Facebook.jpg
 
Nampongeza sana kijana Kelvi.

Ila next time nawashauri Mashabiki wa Simba watembee na upupu mfukoni (ukiwa ndani ya vichupa). Ukimuona Mangungu unafungua fasta na kumwagia, hata kama ana askari nao upupu utawapata. Unafikiri watakuwa na uwezo wa kukukimbiza na kukukamata? Labda kama hamuujui upupu.
 
Mbumbumbu mama yako.

Sikia, kitu ambacho hukijui ni kuwa ile ya jana ni reaction inayoonyesha Wanachama hawamkubali Mwenyekiti na baadhi ya Viongozi. Yule Mwenyekiti ana majibu mabovu we hujui tu. Unakumbuka Ile siku anaahirisha kikao baada ya kuona anaulizwa maswali mengi?

Labda jambo linalofanana na hilo ni hili; kwanini Watanzania wengi mlitaka SSH atoke madarakani? Ndo anayesababisha mvua isinyeshe? Alikuwa anakuletea sahani ya ugali sasa ameacha?

Hapo utangundua kwamba wewe Kiongozi ukishawakera watu mahala fulani, jambo lolote likitokea lawama zinaelekezwa kwako hata kama huhusiki. Busara hapo ni kuachia ngazi.
Hapo kwa mama yangu, umenikosea sana.
Niseme tu, yaishe.
 
Back
Top Bottom