Recent content by Kitena

  1. Kitena

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Na Sisi wa mabandani tupo
  2. Kitena

    Government orders closure of all the four donkey abattoirs in the country within one month

    Hiyo kampeni ya wachina kumaliza punda wote wanaofanya kazi za kubeba mizigo ili wao wauze pikipiki zao. Ila Kwa uhakika wanakaribia kushinda maana karibia mataifa yote waliokuwa wanatumia punda kusafisha mizigo wanaelekea kumalizika.
  3. Kitena

    Mwanaume kurudi nyumbani saa 2 usiku ni ushamba na utoto

    Inawezekana mkeo huwa anakubamiza makonde hivyo lazima uchelewe kurudi ili kupunguza maumivu ila kama una hitaji watoto wajue umuhimu wa Baba nyumbani, utafanya Yale Baba anastahili
  4. Kitena

    Upepo wa kisulisuli watikisa Mwanza

    Umeutengenezea mazingira au unataka uje kama miujiza?
  5. Kitena

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Binafsi kwangu move nzuri ya Kikorea ni "City hunter" na "Iris"
  6. Kitena

    Pundamilia wa tofauti mwenye madoa, aliyezaliwa mbuga ya Maasai Mara, Kenya ahamia mbunga ya Serengeti, Tanzania

    Nadhani wazazi wake ni watanzania waliokuwa safarini nchini Kenya hivyo baada ya kujifungua wameamua kurudi nyumbani
  7. Kitena

    Rashidi Matumla aliyeiletea heshima Tanzania miaka hiyo

    Hii imemaliza kabisa. Umeongea ukweli japo najua kuna watakao kupinga lakini ukweli ndio huo. Huwa watu wengi tukipata pesa tunasahau kuna kesho baada ya leo. Mwenyezi Mungu ampe wepesi bondia wetu mpendwa apate kupona
  8. Kitena

    Utumwa mpya ndani ya Kanisa

    Hapa kwetu Tanzania tunaamini Mungu yupo na Pia ndie muweza ya yote.
  9. Kitena

    Kati ya Maendeleo na Demokrasi kipi kiwe kipaumbele cha Tanzania?

    Vipi kuhusu 🇨🇳 China, Eswatini, North Korea 🇰🇵, 🇰🇷South Korea, Dubai, UAE, 🇶🇦Qatar, na baadhi ya mataifa yanayoongozwa na aflame na malkia, vipi hukusu maendeleo yao na demokrasia.
  10. Kitena

    Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

    😅😅😅😅😅😅😅 Mwenzio kasafiri kwa ndege na wewe kwa vitz, mwisho mmefika mnaulizwa umeona umejifunza nini wakati uko safarini?
  11. Kitena

    Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

    Ataajiriwa mwenye weredi na nidhamu ya kazi wala sio aliyesoma Masters UK
  12. Kitena

    Utumwa mpya ndani ya Kanisa

    Okay kumbe sio ndani ya makanisa! Asante
  13. Kitena

    Nimegundua maana ya baharia

    Mh wewe unaujua ubaharia kweli? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  14. Kitena

    Utumwa mpya ndani ya Kanisa

    Soma Leo na sasa hivi ili kesho uje na tafakuri
Back
Top Bottom