Recent content by kitala

  1. K

    Ajali mbaya Ndanda masasi

    Kaka hapo umetudanganya wamefariki watu 2 na sio 4kama ulivyo ainisha hapo kwenye habari yako ambaye ni dereva amaitwa Musa. Wa pili jina limenitika na alikuwemo DMO anaitwa Robert Lymo kavunjika mghu na hali yake sio nzuri. Mm nimeambiwa na brother angu anafanya nao kazi wako wote halmashauri...
  2. K

    Ajali mbaya Ndanda masasi

    Kaka hapo umetudanganya wamefariki watu 2 ambaye ni dereva amaitwa Musa. Wa pili jina limenitika na alikuwemo DMO anaitwa Robert Lymo kavunjika mghu na hali yake sio nzuri. Mm nimeambiwa na brother angu anafanya nao kazi wako wote halmashauri ya nanyumbu
  3. K

    Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Nashukuru kwa uzi wako ambao hauna mashiko mm ni mpare na sijaona sehemu ambayo wanawake wakifanyiwa FGM hebu sema upareni wapi huko ulikoenda ww. Acha uongo. Kwanza dini ya wazee wetu zamani ni kuabudu mababu zao ndo maana kilq mwaka mwezi 12 lazima turudi nyumbn kuomba wazee wazidi kufungua...
  4. K

    Bongo movies...

    Samahani lkn iv wasanii hawaoni fursa nn. Wanashindwa kutengeneza muvi kupitia tukio la wastegate, mafisadi tanzania, shekh ponda, kapuya, madawa ya kulevya tanzania, mambo ya polisi ccm, kimbunga, na hata mauaji ya tembo na kushamiri kwa wachina na wahind bongo
  5. K

    Bongo movies...

    6. Asubuhi demu anatoka usingizini kajipodoa 7. mwizi lazima awe na sura ngumu na avae miwani na koti kubwa 8. kipande kimoja mtu anaonyeshwa anatoka nyumbn barabarani mpka ofisi zaidi ya dk 30 9. tajiri kupenda maskini 10. Tajiri anavaa suti mwanzo mwisho
  6. K

    Kioja cha mhudumu wa basi la ngorika:

    nikuombe samahani san wahusika tupo humu humu jf. Nimelisikia hilo nitalifanyia kazi huwa kuna no zetu kwenye tiketi unaeza kupiga ukaomba kuongea nasi ofisi kuu kabla hujashuka kwenye gari. Nimepeta no ya gari nitafanyia kazi. Ila tusamehe sana ndugu yangu. Ngorika leading other follow. Tupo...
  7. K

    Mashoga

    Kuna watu wana sema almfirwa hafiruki. Yani hii ni kama laana kwa wanawake au wanaume wanaoingiliwa kinyumbe na maumbile lazima ije irudi kwenye familia yake. Yani kama kuna mzazi alikuwa natabia ya kugonga wenzie au kugongwa lazima imkute moja ya watoto wake ile ndo malipo hapa hapa duniani na...
  8. K

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    Usichanganyikiwe ndugu omba Mungu unaeza ukawa mmoja wao kati ya hao eachache. Source kuna family friend ana jamaa ake ambae ndie branch manager wa makao makuu mtwara alimuambia kuwa wao waliomba kuajiri watu 30 ila HQ wakaoma waajiri 4 kwa sababu hawakuwa na bajeti ya kitosha ila wakaambia...
  9. K

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    Daaaaaah! Kaka zile post za kusini ni 4 na sio 30 kama zilivyokuwa zinaonekana. Na application zilikuwa nying sana sasa hapo ndio balaa litaanza tukiangalia hzo nafasi tuumpe nani anayemjua nani?
  10. K

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni kiboko kuliko hata udsm

    Watu wanakuja kusoma hapa IFM wanafikiri ni chuo cha mauzo ndo maana mnafeli au story za mtaani kwamba ukija ifm unafaulu bila kusoma unafikir ni kweli. Na kwanza ifm master inatolewa na chuo kinaitwa strachifed cha uk na kuna durblin na muungano wa chuo cha india. IFM imeanza kudahili wanafunz...
  11. K

    Kuwazuia masichana kuvaa suruali kunaleta tija?

    Hahhahaha. Ila hii nikutokua na upana wa kufikiri unamkataza mtu kuvaa jins alafu unaruhusu avae gauni ka uji akivaa unaona mpaka mistari ya chupi ina maana gani? unamkataza kuvaa jins anavaa min skirt akikaa kiti cha mbele au mchungaji au padri au lectr lazima kigugumiz kimshike hapo sio din...
  12. K

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Hapo pengo alijishtukia mbna wenzie wasiseme? Iv yule askofu wa jombo la same alikuwa na kashfa ya nn mpaka mkampa kifungo?? Na mdogo ake padri Valence alikuwa na kashfa gani pale kanisa la kisangara na shule ya seminari ya chanjale. Yy kikwete akiongea sio kwamba hajui ila huu urafiki na...
  13. K

    Kama kweli WAISLAM wanachukizwa WAANDAMANE KUPINGA!!

    Tuandamane ili nn? Iv ile ya mapadri kulawiri watoto mliandamana? Iv ugaid ulianzia wap na nani chanzo cha ugaid? Na kwa nn ugaidi na uislam? Iv amerika alivyo vamia iraq, somalia, afughanistan sio ugaidi? Iv chokochoko za kutaka kuovamia iran na kupandikiza chuki kwa mataifa menhine sio ugaid...
  14. K

    Tunisian Girls Are Coming Home Pregnant After Performing 'Sexual Jihad' In Syria

    INALLILAH WA INALLILAH RAJUIN. Mbna uislam tu nn shida kueni critical thinker na mjaribu kusoma uislam hauruhusu mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile na wala mwanaume mwenzio io yote michezo ya magharibi ila mda ukifika kila mtu atajua nn tatizo na nn chanzo cha yote.
Back
Top Bottom