Recent content by kisinzadaud

  1. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Nimekuwa nikijitahidi sana kuacha laikini inaniwia ngumu kama kuna alternative ways to stop it please help me!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Nimekuwa mtumwa wa mda mrefu sana na hii kitu tafadhari msaada wakuu mwenye maujuzi ya kunifanya niachane na hii kitu yaani (pombe) Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Dunia ni gereza la roho za wafu

    Umenena ukweli mtupu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao.

    Pole sana mkuu unapaswa umshukru mungu kwa kila jambo pengine utajifunza kitu kupitia hayo majaribu, jipe moyo na useme kimoyomoyo IPO siku na mimi nitakuwa wathamani kama wengine kwani ndugu shida hazikupandwa kwako. ONE DAY YES
  5. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

    Asante mkuu
  6. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

    Nice massage
  7. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Siri za utajiri (secrets of the rich)

    Asante pia kwa kutoa Elimu kuhusu suala zima lapesa na namna ya kuicontro pesa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Pamoja na udogo wake ila mshahara wa serikali ni mtamu bhana

    Kumbuka pia faida ni bora kuriko mshahara. Kwa sababu mshahara utakufanya uyaishi maisha bila kupiga hatua ila faida itayaendesha maisha yako nautaweka akiba kwa kiasi cha pesa itakayo baki ukiwa business man, niheri ukawa ndani ya ajira na huku ukiwa na kitega uchumi mbadala kwa ajiri ya...
  9. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza, usikopeshe pesa rafiki au usimkopee rafiki

    Bs kopesha jirani yako
  10. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mwanaume

    Patamu hapooo
  11. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

    Nimoja ya changamoto ndugu ya kukuludisha nyuma kimaendeleo. Mshukru mungu tu kwa kila jambo pengine huwezi jua kumbe ndo kimbilio lako la badayee.
  12. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaridhishwa na nini?

    Kuhusu mwanamke unaweza kumlidhisha kwa namna nyjngi ,moja wapo ni kumlidhisha kitabia upendo na maneno ya busara na si kimapenzi tuu!!
  13. kisinzadaud

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu kuumia kupita kiasi kwaajili ya mapenzi

    asante mkuu
Back
Top Bottom