CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

kumbuka kuidanganya mahakama ni kosa.Wadhamini wameshiriki kosa hilo.Ningekuwa mimi nihakim ningefunga na wadhamini wake
Hii ni dunia mami kumbuka. Waliojaribu na kufanya ubabe (Jameh, Mobutu, Amin, Hitler, Bokassa Gbagbo etc) history imewahukumu. WaTz hawakuzoea ubabe na history lazima ihukumu . Omba uhai utashuhudia . Wale nao walitumia vyombo vya dola kwa kigezo cha uzalendo.

Sakata la kina Mbowe unajuwa lilivyoviringwa hasa baada askari kumuua Akwilina. Watu wanatafuta pa kufichia udhaifu ule. After all Mbowe ni mbunge na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni. Kwa hadhi wako sawa na PM bungeni. Sasa kupata dharura iwe ya ugonjwa ,safari ,au hata kufiwa. mahakama zetu zinazoongozwa na wanaadamu zinatakiwa kuongozwa busara kuliko nguvu . Na kwa nguvu hizi wanamharibia jamaa badala ya kumtengenezea. Kwa sababu itaonekana anatumia mkono wa chuma badala ya utawala wa sheria. Sawa mami (ole mhola ahene) [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji40]
 
acha kumlinganisha PM na KuB, Pm ni mtendaji wa serikali, kub ni mtafuta madaraka huyo!
 
Hakuna aliyedhani kama Tanzania itafikia hatua hii; kwa sasa hatuwacheki Kongo Rwanda wala Burundi; tumo kwenye boti moja.
Aliyetenda kosa yupo huru aliyetendewa yupo kwa pirato!! Hii ndiyo Tanzania Mpya!! ambapo kudai haki yako ni kosa tena la jinai.
Fuso chunguza sana siku hizi , wafuasi CCM ni mashabiki wa viongozi, yeyote dictator duniani (Maduro, Mugabe, Jahme etc )!! Jiulize ni wapi tulipopotezea dira !!!
 
Haki gani ya kumtetea Mbowe aliyedanganya Mahakama kuwa yuko mahututi SA mara akaibukia Ubelgiji anapiga self na mgonjwa Lissu huku wakikenua meno kama mazuzu?!! Mahakama siyo ya kuchezea pia naamini watz hawawezi kuchezewa kiasi hicho eti waje Kisutu kwa gharama ya nani na wakikamatwa na kuwekwa lupango utawatetea wakati wapo waliondamana kwenye uchaguzi mdogo Kinondoni wanasota na kesi hata ruzuku hawapati ili ziwasaidie bali group la Mbowe ndiyo linapiga ruzuku pekee yao. Hata Kubenea anajua hivyo!
Yaani anataka kuleta mambo ya enzi za mwalimu.
 
unajua maana ya kuwa na "HADHI" sawa?

Kwani Mh. Kassim Majaliwa ni kiongozi wa chama?
Shemeji( mjaluo) kuwa muelewa basi, yawaaa!
Ngalu ni hivi !! Pale bungeni Mbowe na Majaliwa hawakuingia kwa sababu ya uongozi wa vyama vyao, bali kwa sababu ya ubunge wao . Na moja anaongoza serikali bungeni na mwingine anaongoza upinzani bungeni. Na ndo maana linapokuja maswali kwa waziri mkuu .
Anayepewa hadhi ya kumuuliza maswali kwa kadiri anavyoona, kwanza anapewa KUB . Soma siasa za bunge uzielewe. Sawa mami [emoji120][emoji23][emoji1787]
 
Hii ni dunia mami kumbuka. Waliojaribu na kufanya ubabe (Jameh, Mobutu, Amin, Hitler, Bokassa Gbagbo etc) history imewahukumu. WaTz hawakuzoea ubabe na history lazima ihukumu . Omba uhai utashuhudia . Wale nao walitumia vyombo vya dola kwa kigezo cha uzalendo.

Sakata la kina Mbowe unajuwa lilivyoviringwa hasa baada askari kumuua Akwilina. Watu wanatafuta pa kufichia udhaifu ule. After all Mbowe ni mbunge na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni. Kwa hadhi wako sawa na PM bungeni. Sasa kupata dharura iwe ya ugonjwa ,safari ,au hata kufiwa. mahakama zetu zinazoongozwa na wanaadamu zinatakiwa kuongozwa busara kuliko nguvu . Na kwa nguvu hizi wanamharibia jamaa badala ya kumtengenezea. Kwa sababu itaonekana anatumia mkono wa chuma badala ya utawala wa sheria. Sawa mami (ole mhola ahene) [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji40]
Tulipokuwa na J.k wa Msoga mlisema tunatakiwa tupate Rais mwenye maamuzi magum,Dikteta poa maana aliyekuwa mtawala alikuwa dhaifu.TENA wabunge Wenu walimwita Dhaifu BUNGENI.Leo tumepata Rais mkali mnaanza kumpa sifa za Hitler.Hivi Magufuli akiamua kuwa Dikteta Kweli mtapata Nafasi hata ya kuita press conference nakuongea mnavyojisikia?
Acheni Unafiki,BILA Wapuuzi kama MBowe kuhamasisha watu kuandamana Akwilina angefariki?
Halafu swala la sheria haliangalii hadhi ya mtu.
KAma amedharau mahakama ulitaka Achekelewe kwasababu anahadhi sawa na Waziri Mkuu?
Acheni upuuzi kabisa,MBowe kaleta dharau Acha yamkute.
MBONA wenzake walitii mamlaka hawajafutiwa dhamana.
Huu sio wakati wakuoneana huruma au kulindana kisa hadhi.
Huu ni wakati wakupiga kazi.....

Nakuheshim sheria
 
Emaga nakuleke na imani yako. Nami sijamfananisha Rais wangu na hao. Tz haitapata maendeleo kwa kunyanyasa wapinzani. Never on earth.
Hawa waliopanga kupora wastaafu [emoji850][emoji40]
 
Acheni ujinga Ufipa, suala ni Mbowe hakufuata sheria, nakwambia hiyo mnayosema ya kukutana Kisutu CHADEMA wote, je ni kwamba mna wanachama wachache hivo?

Au ni kwamba eneo la mahakama limepanuliwa ili muenee?

Au unadhani atakayethubutu kusema anaorganize watu kufika atajuta sana anaweza kuswekwa ndani kwa kosa la kuitisha mkusanyiko
Jitambuwe wewe,hii ni kesi ya wazi,hivyo basi watu wanaruhusiwa kusikiliza,na kama ni wengi basi wengine wataambiwa waishie nje.
 
Haki gani ya kumtetea Mbowe aliyedanganya Mahakama kuwa yuko mahututi SA mara akaibukia Ubelgiji anapiga self na mgonjwa Lissu huku wakikenua meno kama mazuzu?!! Mahakama siyo ya kuchezea pia naamini watz hawawezi kuchezewa kiasi hicho eti waje Kisutu kwa gharama ya nani na wakikamatwa na kuwekwa lupango utawatetea wakati wapo waliondamana kwenye uchaguzi mdogo Kinondoni wanasota na kesi hata ruzuku hawapati ili ziwasaidie bali group la Mbowe ndiyo linapiga ruzuku pekee yao. Hata Kubenea anajua hivyo!
Nice massage
 
Kwani umahututi wake na upigaji picha ilikuwa ya ni ya siku moja? Mimi nishamkuta mtu mahututi na akapelekwa hospital usiku WA siku hiyo alirudi fresh kabisa sasa Kuna ubaya gni? Mbona mnakuza mambo ili mjifurahishe nyoyo zenu hatakama mnauelewa WA mambo?

Haki gani ya kumtetea Mbowe aliyedanganya Mahakama kuwa yuko mahututi SA mara akaibukia Ubelgiji anapiga self na mgonjwa Lissu huku wakikenua meno kama mazuzu?!! Mahakama siyo ya kuchezea pia naamini watz hawawezi kuchezewa kiasi hicho eti waje Kisutu kwa gharama ya nani na wakikamatwa na kuwekwa lupango utawatetea wakati wapo waliondamana kwenye uchaguzi mdogo Kinondoni wanasota na kesi hata ruzuku hawapati ili ziwasaidie bali group la Mbowe ndiyo linapiga ruzuku pekee yao. Hata Kubenea anajua hivyo!
 
Chadema wamechanganyikiwa
Niache shughuli zangu mbeya nije dar kusikiliza wapuuzi waliovunja sheria makusudi?
Hata kama ningeishi Tandale kwa mkunduge siwezi kuhribu nauli yangu
Mpuuzi mama yako aliyezaa tahaira
 
Back
Top Bottom