Recent content by kishaba republic

  1. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Hili shauri lifunguliwe kwenye mamlaka ipi?

    Afungue kesi juu ya nini?
  2. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC

    Naomba nikusikilize tafadhari nahitaji kufahamu zaidi niongeze kwa kale nikajuacho
  3. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC

    Is the acts of aggression entertained by ICC? ICC ina direct jurisdiction juu ya aggression ?
  4. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC

    USA wana haki watambe kwamba hawaitambui coz siyo mwanachama wa ICC ila kwa walichokifanya Afghanistan hawana budi kuvhukuliwa hatua
  5. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC

    Kati ya jurisdiction za ICC ni kudeal na matatzo yanayotokea ndani ya maeneo ambayo ni wanachama But kilichofanywa na wanajeshi wa marekani nchini Afghanistan ambaye ni nchi mwana chama kinaipa mamlaka ICC kuskiliza hayo mashitaka basing on territorial jurisdiction. Tatzo linakuja kwamba USA...
  6. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Sitaisahau siku ya interview

    Mapuga upeleke wapi mwishowe upasue Mali za ofisi
  7. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Uwakili wa Profesa Kabudi na muktadha wa alichokizungumza Bungeni

    Watu wanaojua na wakagundua unaamini kwamba wanajua kukudanganya ni jambo dogo tu Hope Kabudi si wakuskikilza juu juu maana utapotea
  8. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

    Nilikula ela ya mafuta nikamwaga maji ya mvua kwenye kichupa
  9. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu cheki za bank

    Wanaomsumbua ni NBC ama CRDB?
  10. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Msaada: Basi za Dar to Mutukula

    Kuna basi la Taqwa linaenda Kampala Au Panda bus la Bukoba nauli elfu 60000 then ukifika bukoba utadaka hiace za Mutukula nauli elfu 2500 tu
  11. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Wale wanawake wanaokwenda kwa Kungwi

    Aaaah vita ya Mau Mau
  12. kishaba republic

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Mungu akutangulie mkuu Safari njema
Back
Top Bottom