mwee hilo kosa gani la kushamuliwa na walimu wote hivyo. Waalimu mara nyingi wamekua chanzo cha wanafunzi kushindwa vibaya. yaani mnaanzaje kumshambulia hivyo. halafu na waalimu wa kike wako hapo mtoto anadhalilishwa namna hiyo. akishawataja hao mabwana zake then wangefanyaje kwa mfano.
waalimu...
ningekua mi ni wewe....kwenye hiyo bado ningeweka majina yangu halisi na ningeweka na picha alonitumia, kisha ninyamaze kimya. angekuja tu mwenyewe na ndiposa ningemwambia mama kwaheri. niliambiwa upo huko nikadhani uongo ila mejionea mwenyewe. endelea kuwa bado. usisambaze picha wala nini...
KAIRUKI NI MAJANGA. wengi watasema hapa lakini ni ukweli. alipasuliwa mama mmoja sababu y uvimbe kwenye jino. hakurudi yule mama. maana kwanza sijui walimfanyaje hadi tukatamani asingeenda kulingoa jino.
juzi hapo kuna rafiki yangu alilazwa hapo mtoto alikua na malaria. ile anatoka doc akakagua...
kuna mtu kapita njia ya kigogo luhanga kuna magogo njiani yametandazwa hawataki gari barabarani.
magomeni bajaji imevunjwa vunjwa hawataki mtu njian.
manzese nilipita kuna patashika sijui kama imekwisha. hali si shwari
Baba huyu nae mnafiki tu. sasa kwanini alimwambia mwanae kua huyo si dadake wa kushea baba. kama waliamua kuifanya siri basi ni bora angenyamaza kuliko tafrani alotengeneza. huyo dogo aende tu nyumbani akaombe radhi hakuna suluhu nyingine. na wazee waseme tu ukweli. bint wa form six mbona mkubwa...
how i wish ungekua karibu yangu nikulambe viboko. kwanini hamjui thamani yenu nyie wadada. hivi unadhani kuna mtu hapo. kabisa yaani kama huwezi kuamua unawaza umpe nafasi nyingine chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ote lanye ooootee nkinki mana uuuuuwi ngoja nilie kwanza maana bora...
kwani kupenda ni nini? my son amekuzwa akinambia mama nakupenda na kunichum kila mara. sasa kuna shida gani mtoto kumwambia mzaziwe nakupenda. basi kama waona soo kusema baba nakupenda sema wazazi wangu nawapenda. hizi akili za kuwaza maneno ingine mbaya mbaya wachaa.
the so called ANNA PITA ni tapeli wa kimataifa, mi nilienda kwenye hizo ofisi zao hapo makonde na nikakutana na HRO wao akasema hawajatangaza kazi na hakuna ishu ya kulipa elfu kumi wala nini. huyu dada njaaaaaaa tu imekamata.
Na huyo HRO akasisitiza kua huwa wakitangaza utoa kwenye magazeti...
pole zimefika dada. aliumia sana hata ndugu pia walikwazwa na jambo hili. Kisaikolojia aliumia zaidi. Kwa sasa anafight kwa ajili ya kijacho wake. hata ndugu wa huyo kijana wanamfariji ingawa ameshaazimu hataki kumsikia kwa lolote. amehama hata alipokua anaishi lakini huyu kiumbe anamsaka kila...
Naandika kwa masikitiko. Imemtokea rafiki yangu kipenzi.
Alikua na mahusiano na kijana mmoja, wanatambulika hadi kwa wazazi. wakiwa kwenye prosess za kwenda kulipa mahari of which ilipangwa wangekwenda december bwana harusi mtarajiwa akatoa udhuru kua ana safari ya kikazi. aliporejea akamjuza...
hadi nakuakua ndo nikajua kua majina haya yaliitwa hivi
Sapeti- Elizabeth
Makreti- Magreth
Petiri- Petro
Apel- Abel
Nikolaa- Nicolaus
mh. mika-Michael
linyi-Linus
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.