MBEYA: Walimu 4 wamvua nguo na kumchapa viboko mwanafunzi huku mmoja akimtomasa nyeti

Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.

Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?

Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.
Upo sahihi mkuu! haingii akilini hata kidogo.kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia
 
kabla ya kesi kwenda mahakamani hao walimu ni vyema wakalambishwa viboko visivyo na idadi kwanza ndo kesi ifunguliwe
 
Wanafunzi Siku Hizi Ni Pasua Kichwa, Mm Naona Walimu 4 Tena Wa Kike 3 Sio Mataahira, Ni Tabia Ya Mtoto Ndio Shida, Hata Sisi Nyumbani Huwa Yanatuharibia Mood Mpaka Unapata Woga, Yaani Mkiti Wa Mtaa Akiona Mm Leo Ndani
 
....yaani hao walimu wa kike ndio wamechangia kumuumiza huyu mtoto!, ila ni walimu wa shule ya kata nina, wasiwasi na akili zao!

Hawa walimu lazima watakuwa na matatizo
 
Wachukuliwe hatua kali za kinidhamu au wakaisaidie magereza ili iwe fundisho we mwalimu unampapasa mwanafunzi huo si ufirauni kabisa .
 
Waadhibiwe ipasavyo au wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba afike huko ndio hatua zichukuliwe kama ilivyotokea Geita?!
 
hilo kosa linaweza kuwacost ajira zao,mtoto sio wako unamshupalia kiasi cha kuhatarisha ajira yako kwasababu ya utoro?
Na wakisimamishaa utasikia wanasema oooh wameonewa serikalo imekurupuka.
 
Hii habar imekaa kishabiki mno,alikimbia akiwa uchi?,akakaa nyumba jiran hadi jion! Hiyo nyumba jiran hawakuona namna ya kumpa nguo ili awahi matibabu,wapi taarifa ya mzazi/mlezi?,baloz,m/kiti wa kijiji/mtendaji kijiji n.k na wananchi au majiran?.Muda ndio msema kweli
 
mwee hilo kosa gani la kushamuliwa na walimu wote hivyo. Waalimu mara nyingi wamekua chanzo cha wanafunzi kushindwa vibaya. yaani mnaanzaje kumshambulia hivyo. halafu na waalimu wa kike wako hapo mtoto anadhalilishwa namna hiyo. akishawataja hao mabwana zake then wangefanyaje kwa mfano.
waalimu wachukuliwe hatua kali. na waalimu wengine waache tabia hii.

habari ziwafikie na waalimu wa MAKONGO SEKONDARI maana nao kwa kua ni ya kijeshi wamekua wakitoa adhabu za kionevu sana. wanafunzi hadi tuition ukichelewa kulipa (ambayo huwa ni lazima tho) mwanafunzi anaadhibiwa mno hadi inalazimika kuhamisha mtoto maana anasoma kwa hofu kila mara na hakuna vikao vya wazazi.
 
Hivii hao walimu hawakujua matokeo ya adhabu hiyo ? Yaani nimechukia saaaaana wapewe adhabu haraka hakuna mambo ya uchunguzi....
 
Mi ningekuwa teacher nisingekuwa na muda na hao watoto,watoto wa siku hizi ni shida,wanaweza hata kukufukuzisha kazi,we kama mtot kaharibika shauri yake dunia itamfunza,usishangae ukakuta tatizo mwalimu wa kike anagombania mwanafunzi wa kiume na mwanafunzi wake,yapo.. nimewahi kusikia mwanafunzi Nkasi kazaa na mwalimu wake wa kike,sijui hii saga iliishia wapi?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom