Huyu Mwanaume kama kuna type yake jamini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Mwanaume kama kuna type yake jamini....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kisasangwe, Jan 30, 2012.

 1. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Naandika kwa masikitiko. Imemtokea rafiki yangu kipenzi.
  Alikua na mahusiano na kijana mmoja, wanatambulika hadi kwa wazazi. wakiwa kwenye prosess za kwenda kulipa mahari of which ilipangwa wangekwenda december bwana harusi mtarajiwa akatoa udhuru kua ana safari ya kikazi. aliporejea akamjuza bi mkubwa kwamba yuko tayari. Mipango ikapangwa na wazazi wa binti wakajuzwa kua kuna ugeni tarehe flani. Kabla ya tarehe kufikia kijana akamfuata mamake mzazi akamwambia nataka niende ukweni na mama akampa baraka zote na kuwasiliana na nduguze walioko huko mkoani (maana wao wanaishi mjini) ili kwamba wampe kampan. kabla siku yenyewe haijafika kijana akaunga safari akaenda huko mkoani akiambatana na hao ndugu. Mama mtu akashangazwa na uharaka huo maana tarehe aliyoambiwa sio walokwenda. akampigia mwali wake kuuliza mbona wamepangua tarehe? Rafiki yangu huyu hakuwa ana taarifa zozote za safari ya mpenziwe hivo akamhakikishia mama mkwe mtarajiwa kwamba hakuna kilichobadilika.

  kilichotokea ni kwamba the kijana muoaji alikwenda kweli mkoani akapita maeneo ya huyu rafiki yangu ila akaenda kutoa mahari kwa mtu mwingine kabsaaa na aliporejea town hapa hakusema chochote. After some few day dada wa huyu rafiki yangu akapigiwa simu na shogake kumjulisha kua aliekua shemejie mtarajiwa KAFUNGA NDOA YA BOMANI wakati huo walikua wanajipongeza kwa harusi hio maeneo flani. kwa kutotaka umbea dada mtu akafunga safari kwenda kuona kwa mboni zake n kweli akakuta maharusi wapo na wanaserebuka. Tafadhali kumbuka kua rafiki yangu huyu hakua anajua lolote hadi hapo dadake alipompigia na kumjuza. walipopiga kwa kijana alizima simu. wakataka ufafanuzi kwa mama nae akaaaaaapa kua kinachoendelea hakielewi hata chembe.

  Hapa ndo naposhindwa kushangaaa kwa kweli, hivi huyu kiumbe alikua na nia gani hasa. kwani angesema tu kabla ya maandalizi hayo yoooooote kua hamtaki si angeeleweka. the worst thing ni kwamba my friend ni preg. baada ya tukio kijana anapiga simu eti anaomba msamaha. msamaha gani anaoutaka jamani kwa makusudi haya.

  story ni ndeefu ila tu jamani kama wapo wanaume wenye tabia hii mbaya hata wanawake mh hebu Mungu awasamehe kwanza maana hata sijui niwaweke kundi gani.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mpe pole , mambo ya ndoa si ya kulazimishana...
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sema sababu wanadamu twataka what is always best for us..... Sema bahati mbaya ama nzuri huyo dada ni mja mzito, lakini kweli kabisa huyo mwanaume ana roho mbaya na very selfish. Kuenda to such extremes kufanya hivo.... Huyo dada ajihesabu mwenye bahati tu yaani in other words naweza sema kaepuka kikombe kichafu na kisichomfaa.... Najua ni ngumu, najua kaumia na najua kua ni ngumu kumeza.... BUT Believe me you Mungu siku zoote ana mipango yake kwa wanadamu na huwezi jua nini hasa kaepuka hapo thou kwa sasa haiwezi onekana hivo.... Mpe mhusika pole sana.
   
 4. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mpe pole sana ni sehemu ya maisha
   
 5. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naungana mkono na wewe asha
   
 6. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kwakweli SOME Men!are just so selfish..story yako inaendana kidogo na a friend of mine,sema ye hakua pregnant..kamvumilia the guy hadi kapata kazi(she used to help him out in one way or the other),.ile kashika vijihela tu,kaoa mwingne bila kusema...saa zingine laana zinatafutwa mi naona..huyo msichana akubali matokeo,alee mwanae and amtangulize Mungu mbele..mpe pole.
   
 7. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  pole zimefika dada. aliumia sana hata ndugu pia walikwazwa na jambo hili. Kisaikolojia aliumia zaidi. Kwa sasa anafight kwa ajili ya kijacho wake. hata ndugu wa huyo kijana wanamfariji ingawa ameshaazimu hataki kumsikia kwa lolote. amehama hata alipokua anaishi lakini huyu kiumbe anamsaka kila siku. Kwa kweli sijui watu wengine wameumbwa vipi.
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpe polesa sana, yani huyo dada anajuuuta kuhafamu huyu gume gume, mwambie asitoteze mda kufata wala kumuuliza amfute katika maisha yake aangalie maisha yake na mwanawe...
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  C'est la vie

  Mpe pole sana. . .mwambie maisha yanasonga mbele. Atulie alee mimba yake na maumivu ya moyo, mwisho wa siku atapata wakumfaa.
   
 10. Bmsegeju

  Bmsegeju Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole, mjuze rafiki yetu kuwa asihuzunike kwa hilo. Nyota njema huonekana tangu asubh. huyo hakuwa mume wa kweli kwake. na akumbuke ndoa hupangwa na Mungu mwenyewe, hiyo huenda amemuepushia balaa.
  amshukuru mungu kwa kila jambo, hata kama ni preg, naamini mungu atampa nguvu ya kulea mwanae mtarajiwa then atatokea mwingine aliyeandikiwa kuwa naye. maisha hayawezi kusimama katika hili, najua ataumia sana na ni jema akubali hali halisi asonge mbele na maisha.
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hii ndo dunia, fujo na rafu nyingi sana.
  Mpe pole huyo dada na kama alivyosema AD, anabahati sana japo atakuwa alipata aibu ya mtoa mahari kutoenda.
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Huu ni ukatili..

  Mimi napenda mtu hata akinichoka aniambie live niumie maisha yaende lakini kuumizana kiasi hiki ni unyama..gosh!
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mi nawaangalieni tu kinamama belinda,asha,lizzy et al.
  Kupuu apuu kuku,akipuu bata......mia
  (source:figanigga).
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Jf kuna mambo?
  Afu mleta mada umetumia lugha ngumu sana kumeza, sina hakika kama nimeelewa.
  Hebu toa mtihani kama ntapata 50%
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wapo.kuna mtu namfahamu alifanya hivyo
   
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Dah! hii ni roho mbaya live. hakuna sababu anaweza toa aeleweke hapo. Mpe muhusika support ya kutosha, mwambie amsahau jamaa.
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawezi kusahau...
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  huwezi jua Mungu amemuepusha na nini, ashukuru,alee mwanae
   
Loading...