Mbunge wa wawi mh.Hamad Rashid Mohamed,ambaye pia ni muwakilishi wa tanzania ktk umoja wa mabunge duniani (CPA)aliwaeleza wajumbe wa semina ya uchaguzi ktk mfumo wa kidemokrasia jana,kwamba vyama vimekua vinatizama sn maslahi yao nakusahau maslahi ya wananchi wanao wakilishwa.
Ndo sababu...
Jamani muwe wakweli wengine ikiwa kwenu hamsemi,mbona alipoteuliwa prf.WESIGA BAREGU Kwenye tume ya katiba hamkusema pandikizi?na zaidi ya yote Baregu akamsifia jk nkwa uteuzi mzuri
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf
Mm ninapenda kushauri bure,prof awe anafanya tafiti kila anapoambiwa jambo na seif au jusa.wote hawa ni waongo na ndo wabaguzi wakubwa,naomba nikumbushe baadh ya matamshi ya seif,alisema lzm rais atoke zanzibar,jusa nae alisema lengo la kuanzishwa cuf ni kuwakomboa wa znz na kushika dola znz wap...
uongo ukiachwa muda mrefu bila kukanushwa hugeuka ukweli.bendera ya ya ADC imefananaje na cdm?mbona hamkusema kma bendera ya cdm ilibadilishwa rangi ili ifanane na cuf?acheni woga.cdm ina vidole v2, ADC ina nyota3 wap na wap?huo u ccm mnao utaja ni upi?mbona nyny mlienda kunywa juice ya ccm wa2...
kundi la hamad limetetelekaje?ttzo lenu mnadhani wapiga kura wamo kwenye jamiiforums.yasin mrotwa aulizwe huko mbeya ana nn chakuonyeshea cuf ipo mbeya?muulizeni uchaguz mkuu alipata kura ngapi za lipumba na wabunge kwenye wilaya yake?hapo ndipo utaona kwamba simba akikosa nyama anakula hata...
jamani jaribuni kuchagua mambo yakuleta humu ndani,mtu anashabikia m.kiti wa chama taifa kwenda kuhutubia mkutano kibanda maiti,bila kujiuliza kwann chama anacho kiongoza hakishiriki uchaguzi arumelu????????????huko znz si wamo na serikalini?bara kuna nn?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.