Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

kundi la hamad limetetelekaje?ttzo lenu mnadhani wapiga kura wamo kwenye jamiiforums.yasin mrotwa aulizwe huko mbeya ana nn chakuonyeshea cuf ipo mbeya?muulizeni uchaguz mkuu alipata kura ngapi za lipumba na wabunge kwenye wilaya yake?hapo ndipo utaona kwamba simba akikosa nyama anakula hata kinyesi'kwa katuga sishangai kwakua shida ni mishahara na siyo ukombozi sawa;MKUMBUKE kuna mwisho wa porojo
 
KAFU - ADC, chama kilichozaliwa kwa ghafla mno nchini na vile vile kuishia kutoweka kwa ughafla ule ule. Hii ni ajabu kweli kweli sawa tu na CCJ kipindi kile.
 
Tatizo hamad hajafanya uchunguz wa kutosha wakat anaanzisha ADC na kwakwel atapotea km walivopotea wenzie kina tambwe hiza
 
Sijapata kuona mpuuzi kama wewe mkigoma unakosa chakuongea unalete siasa mfuu za cuf?? Nyie ni misukule na mtaendeleya kuwa misukule daima !!!!!! Mikutano yote hufanyika kwa wajinga mfano temeke , manzese kosovo , chichiniya huko kote utawakuta watu wasio na elimu wala upeo wowote msomi form four aliyefeli
 
Prof kaleta nguvu mpya..mimi naamini kuwa kama Prof angekuwepo akina Hamad wasingetimuliwa..chama kilikuwa chini ya wehu ndio walifanya madudu mengi tena ndani ya muda mfupi.
 
Kwanza mikutano ya cuf haifanyiki temeke tu inafanyika kila mahara sema kwa kuwa wewe ni mamluki wa chadema unasema hayao cuf iko kuanzia tawi sio chama chako wewe ni katibu mkuu na jopo lake tu maswali ya kizushi kwako

  1. taja jina la aliekuwa mgombea mwenza wa mbowe na wa slaa kama unawajua hapo utajua wewe sio chadema bali wewe ni wa slaa akihama na wewe unarudi ccm
  2. kadi yako umechukua katika tawi gani na kata gani katibu kata wako anaitwa nani?
  3. itaje ilipo ofisi ya wilaya ya chama chako na katibu wake ni nani
hapo utajua hakuna chama kama cuf kwanza ndio chama pekee cha upinzani chenye ofisi ya kudumu na yenye hadhi ya chama cha siasa
pili ndio chama ambacho mpaka leo vyama vyote hukopi kutoka kwa sera na mipango
ni chama japo hakipewi nafasi katika vyombo vya habri hali iliyopelekea hadi wewe kuto jua kama huwa kinafanya mikutano ila kikitaka kufanya jambo lake wanachama na washabiki wake hupata habari mara moja
na hakina ubaguzi ilimradi wewe unasifa za kuongoza unapewa nafasi bila kuangalia dini kabila wala elimu na kipato karibuni cuf kadi bado zipo
 
Wewe wilshere naona umri tatizo kidogo kwako mwaka ambao cuf ilifanya vizuri mikutano ilifanyika wa na wanyonge kwani wanishi wapi na pia kumbua kuwa kauri mbiu ya cuf ni haki sawa kwa wote sijui wewe kwa ushauri tukafanye wapi mikutano na wewe na chama chako huwa mnafanya wapi mikutano kama wewe sio unaiga tu hata siku moja haujawahi kuhudhulia mkutano wa chama chako na kama uliwahi kuhudhulia niambie ulifanyika wapi toka uchaguzi kumalizika kwa uchaguzi ndani ya dar acha kuwa kama kahaba wa siasa unarukia tu kila bwana .

Ukinitajia mlifanya wapi mkutano na mimi nachukua kadi ya chama chako
na iwe masaki au mikocheni maana huko ndio wamesoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom