CUF kutumia sh 500 milioni kwa mapokezi ya Lipumba

Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili.

Nadhani waishio hapa Dar wameona mabango mbali ya Lipumba yakizagaa katika barabara kuu mbali mbali. Hali kadhalika mabasi yamekodishwa tayari kusomba wafuasi kutoka Tanga na sehemu zingine zenye wafuasi wa chama hicho hasa vijiji kutoka bararabara iendayo Lindi.

Lengo ni kuhakikisha Lipumba aone kwamba CUF bado iko imara, haipukutiki, ni wasaliti wachache waliojiondoa au kuogopa kuondolewa ndiyo wanaleta shida.

Mtoa habari wangu pia kanidokezea kuwa nyingi ya hela hizo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge Arumeru na viti vya udiwani katika kata nyingine mbali mbali.

CUF imejitoa katika ugombea wa Arumeru na kupunguza sana pesa za kampeni katika ugombea wa madiwani kwa ajili ya kufanikisha mapokezi hayo.

Nawasilisha.
kinyesi.
 
500milioni ndio maana ITATIRO JULUIS hawezi huhama chama

Aende wapi na umatemate wote huo!! Tanzania kwa 10% basi msimamizi wa hiyo shughuli lazima aibuke na umatemate wa 50mil kwa uchache (at least).
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar inazaliwa!! Na ndio muhimu zaidi kwa sasa kuliko CUF na CCM!
Nyinyi wenyewe hampendani kabisa! muna upemba na uunguja,muna u-cuf na u-ccm....kibaya zaidi
munabaguana hata kwa rangi. Bila sisi, nyinyi hamuwezi kuishi kwa amani hata iweje.
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar mezani, pigania kuitafta Jamhuri yako ya watu wa Tanganyika achana na Kasumba za Kinyerere weweee!
 
Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili.

Nadhani waishio hapa Dar wameona mabango mbali ya Lipumba yakizagaa katika barabara kuu mbali mbali. Hali kadhalika mabasi yamekodishwa tayari kusomba wafuasi kutoka Tanga na sehemu zingine zenye wafuasi wa chama hicho hasa vijiji kutoka bararabara iendayo Lindi.

Lengo ni kuhakikisha Lipumba aone kwamba CUF bado iko imara, haipukutiki, ni wasaliti wachache waliojiondoa au kuogopa kuondolewa ndiyo wanaleta shida.

Mtoa habari wangu pia kanidokezea kuwa nyingi ya hela hizo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge Arumeru na viti vya udiwani katika kata nyingine mbali mbali.

CUF imejitoa katika ugombea wa Arumeru na kupunguza sana pesa za kampeni katika ugombea wa madiwani kwa ajili ya kufanikisha mapokezi hayo.

Nawasilisha.

Tatizo la Kima akikosa Miti huja kwenye Mwili, Mumeshindwa kujuwa Watanganyika kuwa Mgomvi wenu ni ccm alioiuwa Tanganyika yenu Mulioipigania uhuru na kupata historia au cuf freedom fighter fo zanzibar people?.

Hivi kweli Munazani Cuf ni chama au ni harakati za Wazanzibar katika kujigomboa, kila mukitia sumu basi ndipo Wazanzibar wanapo pata speed na kifo cha hio cuf Munayo sema kuwa itakufa basi itakufia kwa bara na sio Zanzibar.

Wazanzibar tunajuwa kitugani tunataka na tunafanya, ikifa kafu Muamsho ipo na hapo tena hakuna maneno yakuvunganyia nikuvunja Muungano bila lelemama.

Watanganyika ombeni ccm itawale maisha lakini ikichinda Chadema basi ccm imekufa Zanzibar na ASP itarudi na kuungana na ndugu zao wa Zanzibar na kuvunja Muungano fake, kwa hio musizani kuwa Chadema itaweza kunusuru Muungano wa Dodoma na Kishwanduwi.

Kifo cha Muungano hakiko mbali . huchangazwa na nyiyi Munaowakumbatia Hamad Rashid na kuzani kuwa kama vile hamadi katoka Mkowa wa Iringa au Meru Muungano ukivunjika Hamad Atakuwa wenu sisi hatumtaki.

Wazanzibar hivi sasa wanajipanga kuisubiri katiba mpya na wanamengi yakuijaji hio Katiba , kwanza ni kuvunjwa kwa Muungano na kurudishiwa Tanganyika yenu muipendayo yenye historia ya uhuru wa mababu zenu, B hivi sasa kuna sindikizo la kukataa kuwa kila chama kusajiliwa Tanganyika.

Wazanzibar wanataka usajili wa vyama uwe bara na vyama vyao na Zanzibar vyao hizi ni nchi mbili tafauti ktk kujigomboa na kupata uhuru wake.
 
Kwanza hayo niliyokueleza ni kweli au uongo?
Mimi teyari ninanchi yangu....no matter iitwe Tanzania au Tanganyika' Je,wewe nchi yako iko wapi?
Nchi yangu inajulikana duniani kote na ina kiti chake UN' Je,wewe nchi yako inajulikana wapi? Zambi
ya ubaguzi itawamalizeni sana. RIP CUF
 
Hii habari ungempelekea Shigongo ungepata hela ya bia.
 
chanzo kimebainishwa; hebu isome tena thread!
pia 'viashiria' vya gharama kama mabango n.k
 
Aaaha! kumbe mnajua ili mupate uhuru kamili ni lazima ccm iondoke madarakani.
Hata sisi huku bara tuliowengi hatuitaki ccm hata bure. Ila nyinyi nduguzanguni
mnamatatizo sana kumkichwa! Sasa kama mmeshajua kuwa siku ambayo chadema
watashika dola na muungano utakufa very soon,so kwanini na nyinyi huko hamuisapoti
Chadema na badala yake munaichukia kuliko hiyo ccm yenu inayowakandamiza? kulikoni?
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar mezani, pigania kuitafta Jamhuri yako ya watu wa Tanganyika achana na Kasumba za Kinyerere weweee!

Tanganyika ilishakufaga siku mingi sana, hamna tena hiyo kitu kuna TANZANIA tu! Pole sana kwa jitihada zako za kuitafuta znz, safari ni safari.......sina hakika kama utafika.
 
Kwanza hayo niliyokueleza ni kweli au uongo?
Mimi teyari ninanchi yangu....no matter iitwe Tanzania au Tanganyika' Je,wewe nchi yako iko wapi?
Nchi yangu inajulikana duniani kote na ina kiti chake UN' Je,wewe nchi yako inajulikana wapi? Zambi
ya ubaguzi itawamalizeni sana. RIP CUF

CUF haisimami kama Chama cha siasa pekee tu bali ni TAASISI ya Ukombozi kwa Wazanzibari na Watanganyika, kwa hiyo ndoto za kufa Chama hichi sahau kabisa. Nchi yangu mimi haijafa pamoja na jitihada zote zilizofanywa za kutaka kuiua lakini bado jina Zanzibar lipo na linasikikana kila pembe ya dunia na najisifia kua MZANZIBARI je wewe Tanganyika yako ipo wapi! Hata kwenye katiba yako imeandikwa Jamhuri ya watu wa Watanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar lakini cha kushangaza Jamhuri ya Tanganyika haikonekani na badala yake tunasikia kitu Tanzania Bara!!! Aibu ilioje kwa watu wenye heshma zao! Shame on you, amka ndugu.
 
Tanganyika ilishakufaga siku mingi sana, hamna tena hiyo kitu kuna TANZANIA tu! Pole sana kwa jitihada zako za kuitafuta znz, safari ni safari.......sina hakika kama utafika.
Nimemwambia hichi kitu kwenye post fulani kuwa hata kama huu muungano utavunjika leo'am sure jina la Tanganyika
halitarudi tena na badala yake jina la Tanzania litaendelea kutumika....unajuwa hii mijamaa mie huwa inanishangaza sana
yaani wanajua kabisa ili wao wapate uhuru wao ni lazima kwanza ccm itoke madarakani,lakini ukiwaambia waisapoti ADC au Chadema utawasikia hatuwezi kuwasapoti makafiri na vyama vyao vya makanisa! lakini wako teyari kuisaport ccm iliyo
waulia ndugu zao 22 kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2000. This people ar bulshit!!!! yaani hawaeleweki kabisa
 
Tuuone huwo ujio wake wa mapokezi ya mil500 kama atasaidia swala la uchumi katika nchi TZ,I wish kuona atakacho fanya pindi atakapo fika nchini.

Anakuja kushuhudia kifo cha chama chake.
 
CUF haisimami kama Chama cha siasa pekee tu bali ni TAASISI ya Ukombozi kwa Wazanzibari na Watanganyika, kwa hiyo ndoto za kufa Chama hichi sahau kabisa. Nchi yangu mimi haijafa pamoja na jitihada zote zilizofanywa za kutaka kuiua lakini bado jina Zanzibar lipo na linasikikana kila pembe ya dunia na najisifia kua MZANZIBARI je wewe Tanganyika yako ipo wapi! Hata kwenye katiba yako imeandikwa Jamhuri ya watu wa Watanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar lakini cha kushangaza Jamhuri ya Tanganyika haikonekani na badala yake tunasikia kitu Tanzania Bara!!! Aibu ilioje kwa watu wenye heshma zao! Shame on you, amka ndugu.
Mkuu, CUF ishaakufa bado kuzikwa tu....na kuhusu Tanganyika nishakujibu sana labda nirudie tena.
Hata muungano ukifa leo'Jina la Tanzania litaendelea kutumika no matter nyie mtakuwa mmejitenga.
Hata hivyo sidhani kama ccm watawapeni uhuru wenu tena! maana ccm huwa wananufaika na kura za urais kutoka ZNZ
kila uchaguzi mkuu unapowadia. I think ur understood
 
hiyo nisawa na m2 kufanya fahari ktk mazishi,jambo ambalo lilipaswa kufanyiwa m2 akiwa mgonjwa huenda angepona
 
Back
Top Bottom