Kitu nimegundua hap JF ndio maana watu hudiriki kusema Jf ni ya CHADEMA..kwasababu kila kitu hpa kinawekwa ki upinzan hasa wa chama changu cdm kwasababu watu tunashindwa kuelewa nini maana ya demokrasia ya kweli au kukuwa kwa demokrasia....hivi leo hii watu wengi huitolea marekan km nchi iliyopiga hatua ktk demokrasia....kwa mfano Obama pindi anagombea urais Hillary Clinton alikua mpinzani wake lakini sasa hivi huyu mama ndie waziri wa mambo ya nje kwan huyu mama kaathiri kitu gani kwa utendaji wa Obama na serikal yake??? Nasema hapa nikiwa na maana ya kwamba Kikwete kumteua Mbatia kuwa mbunge sio ajabu wala jambo geni hata kidogo....kwan angemteua wa chadema tungehoji??? au udp,nk..?? hapa anapanua wigo wa siasa na kuondoa siasa za mazoea na za chuki dhidi ya vyama vya siasa ili hata wa cdm akipata na akafanya hivyo watu wasione km ajabu...na ieleweke kumpa mbatia hiyo nafas sio kwamba ccm haina watu au wanachama makini sio hivyo hiyo ndio maana halisi ya siasa za kuvumiliana na kuheshimiana na kwa uwazi zaidi...naomba tubadilike SIASA HAINA ADUI WA RAFIKI WA KUDUMU''' naomba kuunga mkono hoja