Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 411
Mfumo kristo umeasisiwa na elimu za madrasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a. kama ni easier go ahead and convice them to withdraw from union; lakini CUF wao wanataka serikali tatu na wanaanda wananhi kubadilisha muundo wa Muungano hawajawahi kuficha hiyo objectives from day one..
b. Hivi CUF , CDM CCM ni mgawanyiko huo you must be kidding, mbona wazenj wengi wako kwenye vyama hivyo lakini bado ni wazanzibar..
Tension za waislamu na wakristo Tanganyika zinaletwa na kanisa kwa kutoa michapisho ya kichochezi na ubaguzi kila inapokaribia uchaguzi .issue ni kuwatisha viongozi wa serikali wasithubutu kuondoa upendeleo wanaopewa kutoka kwenye mfuko wa umma through MoU..wamefanikiwa..
Tatizo lililopo sio kanisa hata siku moja tatizo ni ujinga na upeo mfupi kama size za viatu hasa pale wale ambao hawakuwahi kuona kuta za madarasa na wale waliobahatika tena kwa kutumia assets za kanisa wanapofikiri katika upeo uleule huku wakiwa ndani ya box la unafiki wenye uvundo. Ukiwa na watu wa aina hii kwenye jamii lazima kila tatizo watafute mchawi. Hawawezi kusumbua bomgo zao na kuangalia namna ya kuleta ufumbuzi endelevu na yakinifu.Hapana. Na mara nyingi habari kwao chanzo ni vijiweni na waganga wa kienyeji. Maendeleo na mawazo endelevu chanzo chake hajawahi kuwa vijiwe vya kariakoo, manzese na tandika. Mnatakiwa kuvuka wingu lilitanda akili iliyodumaa ili muyaone maswala katika taswira yake isiyo kuwa na ubaguzi
Inabidi Prof. Lipumba aambiwe ukweli, that is too little too late.Prof Lipumba katoa kali ya mwaka alipokuwa anawahutubia wananchi wa visiwani Zanzibar na kusema wamwogope mtu anayewagawa watanzania kiunguja, kiupemba na kiutanganyika kuwa ahitajiki CUF na aogopwe kama ukoma cha ajabu Jusa naye yupo na kahutubia.
Hivi kweli yanatoka miyooni mwao au ndo ngozi ya kondoo?
Source ITV
a. kama ni easier go ahead and convice them to withdraw from union; lakini CUF wao wanataka serikali tatu na wanaanda wananhi kubadilisha muundo wa Muungano hawajawahi kuficha hiyo objectives from day one..
b. Hivi CUF , CDM CCM ni mgawanyiko huo you must be kidding, mbona wazenj wengi wako kwenye vyama hivyo lakini bado ni wazanzibar..
Tension za waislamu na wakristo Tanganyika zinaletwa na kanisa kwa kutoa michapisho ya kichochezi na ubaguzi kila inapokaribia uchaguzi .issue ni kuwatisha viongozi wa serikali wasithubutu kuondoa upendeleo wanaopewa kutoka kwenye mfuko wa umma through MoU..wamefanikiwa..
Jusa haonekani kwa viongozi wenzake kama anawagawa wananchi kwakuwa anatoa matamko ambayo ni utekelezaji wa maazimio ya kamati ya utendaji.
Siku akijaribu kutamani nafasi za masultani wa cuf watamgeuka hapo hapo na kumuita majina mabaya ya kila aina.
Hamad rashid alionekana mbaya kwakuwa alianza kuitamani nafasi ya usultani wa maalim seif pamoja na kuanza kuwaunganisha watanganyika na wapemba+waunguja kitu ambacho ni kinyume na sera yao!