Recent content by Kiroroma

  1. Kiroroma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilimlisha mume wa mtu limbwata la nyama ya bundi

    Ni ukweli kabisa hii story ni promo TENA PROMO LISILOENDA SHULE..Kwa mwenye akili na aelewe,Ila kwa wajinga mtatekwa kwa namba za simu ziloizowekwa hapo kimkakati.Nawahakikishieni hata mwandishi wa Story hii bado ni wakala wa shetani,Kuna kila sababu ya kusema...
  2. Kiroroma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenitambulisha kwao bila kunitaarifu!

    Hiyo ndo inaitwa ya kimila usijali
  3. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Waitara aliyeikimbia CHADEMA

    Tutaonana 2020
  4. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Dodoma iitwe Nyerere JK City

    Nimekukubali hoja na wazo lako ni muafaka kabisa .Vizazi hivi hawajui umuhimu wa Mwalimu JK Nyerere kabisa.Twende mbele twende nyuma Dodoma inapaswa kupewa hadhi ya Jiji tena kwa jina pendekezwa.Nawasilisha.......
  5. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Anayejua makweme na makilaume aje hapa

    Hayo yote kule kwetu Ng"uni Matikony yapo mengi sana kiasi kwamba wanasemaaga ni matunda ya watoto.Miaka hiyo ya azimio la kufa na kupona tulikuwa tunayauza sana mashuleni, watoto wanajidai nayo.Siku hizi yanaelekea kutoweka kutokana na mabadiliko ya uoto wa...
  6. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano

    Lisemwalo lipo hakika Mchechu ameliingiza shirika tena na Taifa kwenye mtaro ambao halitakaa litoke daima.Madeni ni makubwa na mengi kupindukia na uwezekano wa nyumba hizo kukopwa na kurudisha deni/Madeni ya benki ni ndoto za kienda wazimu tena za mchana...
  7. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

    wewe ni wa kufungiwa mawe na kutumbukizwa baharini ukiwa hai
  8. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu wa Meya Jacob na Lema mzuri sana. Tatizo Mindset

    Habari hii ina mguso wa kina mwenye uelewa na aone.........
  9. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    Nahoji uelewa wa Ndugai kuhusu swala la Diplomasia ya kimataifa.Hivi anadhani ni jambo la kuburuza tu kama anavyofanya Bunge la Tanzania. Mambo mengine awaache wenye uelewa wake wayaongelee na kutolea matamko.Yeye aishie zake huko huko Kibaigwa.
  10. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Tax reform could deliver triple-digit gains?

    Imagine running a big business right now. Demand for your product is up. You need a new factory. Should you build now? Should you wait until next year? The year after? That’s not really a hypothetical. Businesses all over the country face those questions. The only right answer is they shouldn’t...
  11. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Making Money When the Party Ends.

    It’s all starting to feel like very familiar territory now… Nothing financially bad can ever happen again. The stock market feels nice and cozy. People continue to make money. What’s not to like when the price of assets can only go in one direction? And that’s what has me a bit concerned. The...
  12. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Tanzanian Student Allegedly Arrested For Posting Pictures Of Cracked Wall At Hostel Named After Magufuli
  13. Kiroroma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Kiukweli nakusifu sana jamaa wewe ,Kwanza kwa kutokuwa na papara juu ya tabia ya mwenzio.Lakini pia kabla sijakushauri kitu chochote hebu jaribu kujitathimini mwenyewe pia labda kuna mahali humtoshelezi huyu kiumbe.Yamkini kwa maisha ya ughaibuni kutwa kucha...
  14. Kiroroma

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Hatunywi sumu hatujinyongi..........CCM hata kwa dawa haipendeki tena ndani ya uongozi huu.Kwanza uongozi huu umekiuka imani , na madhumuni ya Chama chenyewe.Ubaguzi,Ukanda ,Ukabila.Upendeleo havitamwaacha hai mtawala yeyoyte katika nchi hii.Yamesemwa mengi lakini...
Back
Top Bottom