hahahahahahah , hapana usikate tamaaa ndio siasa hiyoSijisumbui tena kupanga foleni kupiga kura *****
haya ndio tunaanza kuyasikia baada ya kuhama?????Kamanda mtoro
haaaaaa!! ukweli au unatania???????Ogopa sana chama ambacho asilimia 90 ya viongozi wake ni ndugu, yani chama kimegeuzwa "FAMILY BUSINESS". Wakipewa nchi hawa ni hatari sana.
Nafasi nzito wamewekwa wakina Anko, bamdogo, shemeji.haaaaaa!! ukweli au unatania???????
wewe watakushambulia maana huwa hawataki kusia maneno kama hayoNafasi nzito wamewekwa wakina Anko, bamdogo, shemeji.
wewe watakushambulia maana huwa hawataki kusia maneno kama hayo
duuuuu wewe kiboko yao
haya maneno ndio tunayasikia baada ya kuhama ndio mnaanza kusema kuwa alikuwa hana ushawishi wowoteWaitara kila alipotaka kujifanya mtu muhimu chadema haikuwezekana, sijawah kumsikia akitajwa kama mtu machachari japo ni Mkurya kumbe
Fact itabaki kuwa fact wakati wote na wakati wowote.haya maneno ndio tunayasikia baada ya kuhama ndio mnaanza kusema kuwa alikuwa hana ushawishi wowote
Amehaidiwa uwazirishilingi ngapi kanunuliwa???
haahah hayo umesema wewe, kwani alipokuwa Chadema hakuwa waziri?????Amehaidiwa uwaziri
haahah hayo umesema wewe, kwani alipokuwa Chadema hakuwa waziri?????
Tumbo mkuu...Unahama chama kisa unajiona hutaingia vikao vya maamuzi?
Unaenda chadema.
Unataka tena nafasi ya kufanya maamuzi unaikosa unarudi kule kule kwa mwanzo ambako ulikosa nafasi ya kufanya maamuzi.
Kwamba sisiemu watakuacha uwe mwenyekiti?
Kuna swala kubwa kuliko tunaloonyeshwa
Sio wote'Wakurya wana Msimamo Sio Kama Hawa Wandengereko kina Maulidi Mtulya'- Great Thinkers uchwara wa JF