Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

Hili tukio limeniharibia usingizi wangu usiku wa leo baada ya wife anaefanya kazi mtwara kunipigia simu usiku saa9 kunipa story za hili tukio. Amesema watu kibao walipanga foleni kupata kikombe cha uji usiku Wa manane. Nilimwambia asiende na ukweli hajaniangusha labda kama kanidanganya
 
Mahali popote palipojaa imani za kishirikina, habari za kizushi kama za huyo mtoto ni rahisi sana watu wa maeneo hayo kuziamini. Mikoa ya Lindi na Mtwara ushirikina umeenea sana sababu Ukristo haupo sana maeneo hayo. Asilimia kubwa ya wenyeji wa mikoa hiyo ni Waislamu na sote tunajua Uislamu na Ushirikina ni kama "pua na mdomo".

Watu wenye imani ya YESU KRISTO kamwe hawawezi kuamini upuuzi kama huu sababu kinga ya Wakristo ni damu ya YESU KRISTO na siyo uji wa muhogo.
 
Sio Roman Catholic kweli..?

Ni uzushi uliosambazwa kwa njia ya sms na kupigiana simu kukienezwa habari zisizokuwa sahihi kuwa Msumbiji kazaliwa mtoto ambaye hana miguu wala mikono ila ana ndevu na kasema..
"kutanyesha mvua ya miujiza(wakimaanisha asubuhi ya leo jan 10), na tena ni maji meusi mvua ambayo yoyote litakae mgusa tone la maji basi anafariki papo hapo na yeye kaja kutoa taarifa hiyo tu na atarudi alikotoka (ikimaanishwa akimaliza maelezo atakufa)
Walipomuuliza tufanye nn ili tunusurike na hayo madhara ya mvua?.
Akasema sharti lake ni kupika UJI WA UNGA WA MIHOGO na usitiwe chumvi na upike mbele ya nyumba kwa kila familia na iwe kwa mafiga ambayo utayatumia kwa mara moja kisha kila mwanafamila anywe huo uji ndio hiyo mvua haitamuasiri"
Kimaelezo wanadai baada ya kumaliza kuongea akafariki.
Ikumbukwe hizo taarifa zimeanza kusambazwa majira ya saa 3 usiku zikaenea ukanda wote kwa kasi ya ajabu hadi kufikia majira ya saa 10 usiku watu wengi walikuwa nje kwa vijiji na miji mbalimbali km vile Mtwara mjini, Nanyamba, Tandahimba,Mahuta ,Newala,Masasi,Nachingwea,Rwangwa(kwa waziri mkuu) Liwale,Tunduru,Mangaka na vijiji vyake sijapata taarifa za Lindi Mjini kiujumla wengi waliingia katika hizo imani potofu.
Ila hii leo asubuhi ndio zinatoka taarifa toka kwa watu wa msumbiji kuwa nao wamekunjwa kwa kuaminishwa huyo mtoto kazaliwa huku Tz.
Niwape pole woooote waliokesha kwa kuamishwa utumbo.

Tahadhari: Hakuna mwenye kuijua kesho chini ya jua na tuwe makini na vitu vya kusadikika ndio maana munaibiwa kitoto kwa kuamini madudu.....
 
FB_IMG_1515572709785.jpg

Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya wakazi wa maeneo mbalimbali mkoani Mtwara na maeneo mengine ya mikoa ya jirani wamejikuta wakikesha nje ya nyumba zao usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2018, wakipika na kunywa uji utokanao na unga wa muhogo.

Wakazi hao wamedai kuwa wanatekeleza agizo la mtoto mdogo aliyezaliwa katika kijiji cha Mchichira kilicho kati ya nchi ya Msumbiji na mkoa wa Mtwara na kisha papo hapo kuanza kuzungumza.

Imedaiwa kuwa mtoto huyo alisema kuwa mvua ya maajabu yenye sumu itanyesha katika maeneo hayo na ili kujikinga nayo, watu wanapaswa kunywa uji huo kwa Imani kuwa uji huo utazuia kabisa mvua hiyo ya ajabu.

Licha ya kuwepo kwa taarifa za kutatanisha kuhusu ukweli wa jambo hilo, watu waliendelea kuamshana usiku wa manane kunywa uji huo.

chanzo;Priority10News
 
Mahali popote palipojaa imani za kishirikina, habari za kizushi kama za huyo mtoto ni rahisi sana watu wa maeneo hayo kuziamini. Mikoa ya Lindi na Mtwara ushirikina umeenea sana sababu Ukristo haupo sana maeneo hayo. Asilimia kubwa ya wenyeji wa mikoa hiyo ni Waislamu na sote tunajua Uislamu na Ushirikina ni kama "pua na mdomo".

Watu wenye imani ya YESU KRISTO kamwe hawawezi kuamini upuuzi kama huu sababu kinga ya Wakristo ni damu ya YESU KRISTO na siyo uji wa muhogo.
Kwa hiyo wakristo wenzio walikunywa huo uji utawaweka kundi gani au ndo Mwili bahari akili punje ya mchele.
 
Nipo Maputo, saa 11 alfajiri napigiwa simu kutoka kwa ndg yangu Mtr kunieleza hayo. Niliishia kucheka tu maana sikuwaza kama angenieleza kitu cha aina hii.
 
Kabla ya viwanda ilibidi rishe kwanza ili kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri.Kwa hali hii kazi ipo kubwa.
 
Haaaaa ni hatari kweli, Watu wanaogopa kifo. Kweli wajinga ndo wale wao
 
Sasa kama mtoto aliyezaliwa na kuanza kuongea akisema unadhani kuna mtu atabisha? Acha tunywe uji usiku kucha tusije kufa bureee
 
Back
Top Bottom