T-future
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 544
- 284
Hamjambo wakuu.
Kuna mazao nimekuwa nikiyaona sehemu za Kilimanjaro ila pengine sijawahi kuyaona,
(Picha sina) na sijui wengine huwa mnayaitaje ila mim najua mazao hayo kwa majina hayo,
MAKWEME.
Ni mazao yenye jamii ya mafuta kama karanga nazi au jamii kama hizo. Huwa yanatumika pia kama kiuongo cha. Mboga yani kama wasukuma na wanyamwezi wanavyoweka karanga (mtwili) kwe mboga na ndivo makweme hutumika.
MAKILAUME (Kwa lugha niliyozoea)
Nolishawahi kusikia baadhi wanaita matunda damu, huwa kwa mazingira ya kule kwetu yanapikia mboga kama mchicha, mchunga, mnavu au hata kwe nyama na samaki. Yana ladha chachu unaweza hata kula kama tunda.
Tujuzane zaidi.