jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
mkuu taratibu huyu mtoa mada sio mwanafunzi
teh teh
mkuu taratibu huyu mtoa mada sio mwanafunzi
huyooo dada nampaa big upp...unamkulaaa tu unategemeaa nn...na atakung'ang'aniaa kweliii....wanaume wadar hamtaki majukumu...hakuna cha tabia wala nn hapooYaani huyu demu sijui vipi kwanza mi sina mpango wa kuoa kwa sasa halafu hata.ningeamua hivyo sio yeye kwa sababu nimeshajua tabia zake hazikidhi hata robo...juzi nimepishana na ndugu yake,ananiuliza unamuoa lini dada yangu? mbaya zaidi akaniambia ndugu wote wanajua mie ndio mchumba mtarajiwa ....
Hapana,yaani amewaeleza nduguze ameshapata mchumba wasubirie tuu..wakati mi sijawahi hata kumtamkia swala la ndoa.
We dogo ane bana....mnaweza kua watatu na wote mmetajwa kule sababu hakuna aliepelekwa wakati wa huo utambulisho.Hapana,yaani amewaeleza nduguze ameshapata mchumba wasubirie tuu..wakati mi sijawahi hata kumtamkia swala la ndoa.
Hahahahaha jamani tena bila utaratibu maalumMi mwenyewe nashangaa! nashukuru umenipa point ya kwanza..