Recent content by kirongaya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    kuna mbunge amemkosoa mwigulu kuhusu nukuu yake kwenye kitabu cha kambi ya upinzani, kuwa walimu wote wa primary wanafanya biashara mashuleni badala ya kufundisha ,mmbunge wa upinzani amemkosoa akamwmabia arudi shule tena darasa la kwanza , mnyika kamtoa nishai na kufuta kauli yake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    huyu jamaa siuji kalogwa yeye na chadema tu, akuna anachofanya zaidi ya kukusoa chadema anamfanya mwenyekiti mapofu yanamtoka mdomoni hahahahha
  3. K

    JamiiForums Tanzania nimeshapata

    hongera fanya chap chap maana mjini chelewa chelewa ...............
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

    poleni wafiwa na mwenyezi mungu awape nafuu majeruhi wote
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Mbowe kasema wabunge waheshimiane na hasa wa gamba maana badala ya kuchangia hotuba ya bajeti wao wanatoa kashfa na kejeli na wabunge wa upinzani na wakijibiwa waupinzani wanaonekana hawana nidhamu, nidhamu ipo kwa aliyetoa kashfa na kejeli. Amemtaka spika hata adhabu ikitolewa isiangalie...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha Arumeru watu wakishangilia

    haya lusinde katukane tena
  8. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption

    yaani sijui hata niseme nini, kuna watoto hawjui shule ni nini? kuna watanzania hawajua kesho itakuaje, wajawazito na watoto wanapoteza maisha kila siku kisa dawa na matibabu finyu yaani ni mengi mengi sana, sasa unaposikia upuuzi unaoteka hapo PPF natamani sijui hata mmmmmmmh, kuna haya ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi La TZ limejifunza nini MISRI?

    hivi hujui jeshini ufisadi ndio kwao, hayajaanikwa tu hayo ya dowans madogo ndugu sasa waachie tu muwatoe madarakani ili mfukunyue ya kwao mmmmh ngumu sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Anahisi wapinzani wanataka kumchezea, hisia tope hizo. Na yeye anataka kwenda na kiwango cha aliyepita dooo itakua ngumu sana ajui amewekwa na mafisadi na mwisho anataka kuwanyamazisha wapinzani mapema mmmmh sijui kama atafanikiwa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lady gaga

    jamaaaa amekuambia sariboko we ujui sariboko?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

    wale wale tu toka akiwa naibu spika akisimama mpinzani anakunja uso we fikiria hapo alivyo kama kakunja uso jeeeeeeeee akikunja uso hahaha
  13. K

    JamiiForums Tanzania Eti 'kuoa' ni gia babkubwa inayong'oa visiki vilivyoshindikana?

    siku hizi hawataki sana story wao moja tu money on the table ............ on the bed
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama noma na iwe noma!

    ka 4wheel kanapatikan ila suzuki model ya zamani naana ya 1996 mpaka 98 kwa kuagiza iatakutafuna kidogo kwa sababu in kodi zaidi ya 4 hiyo new model yake yaani ya 2001 imekomaa bei kidogo bajeti yako pungufu mkuu. mi nakushauri ingawa umesema hupendi garizinazofana na taxi nunua toyota corrola x...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Eti Badra Masoud wa TANESCO ametimuliwa katika post ya PRO?

    labda kwenu kimbiju ndio shida ya umeme imeisha kwa tanzania hii uliyopo na wewe tatizo bado kubwa sana siasa ndio zilizobaki
Back
Top Bottom