Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI
 
Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI

True uwaziri umemuuma
 
Kama serikali ya ccm inatetewa na watu kama William Ngeleja basi Mnyika na Lissu wako sahihi. Silly season.

Ngeleja ameweka hii nchi kwenye giza, Ngeleja amesababisha uchumi wa nchi kuteterak, leo hii anapata nafasi ya kusimama na kutetea nini?
 
Ndio anaaga bunge!machungu makali mno 2015 harudi mjengoni
 
Noana mama Makinda aliamua kuua soo kiaian, ila alikuabliana na Hoja na Mh. Tundu Lissu kuwa kinachojadilia ni Bajeti ya Serikali na hakuna kitu kinaitwa Bajeti Mbadala bali ni mapedekezo ya kambi ya upinzani.

Ngelaja kakurupuka sana! Kukosa uwaziri mchezo!
 
Jaman mtu ukiwa na reasoning nzuri hupati tabu ya kumtambua mtu matatizo yake cz ata extra-sensory perception inatoa majibu ikichangiwa na body language yake kwamba ana maumivu yakutimuliwa uwaziri,cz hakuna sababu yakutanguliza shukrani za kipindi ulichokuwa kwenye uwongozi na ushirikiano uliopewa,wakati nafsi inamsuta kwa udhaifu alionyesha kwa muda aliokuwepo madarakani.na kwajinsi ambavyo hayupo cosistent ndo mana hafahamu kama kuna marekebisho yaliyokwisha fanyika.
 
Ametaka kupata umaarufu kupitia bajeti ya chadema ,,, ambapo al;ikulupuka kama tunavvyomjua,, na kuanza kuiponda na kusema kuwa chadema wanadanganya wananchi,, kwa kusema kuwa bajeti ya ccm ni nzuri,, ina mambo mazuri mno,, yeye anampongeza wazri wa fedha na kamati yake,, kwa kutuandalia bajeti nzuri yenye,, kukidhi matakwa ya watanzania kwani imejitosheleza kutatua ugum wa maisha kwa kucover maeneo yote ambayo yanampa tabu mtanzania,, imebase kwenye elim afya miundombinu maji nishati,, na ati bajeti au maoni ya upinzani kama aitavyo tundu lisu,, ngeleja akasema hayana jipya,, haijaeleza jinsin ya taifa kuongeza mapato,, na inasema kuwa mapato ni 0..zero,, haija jitosheleza inafaa itupiliwe mbali
 
Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI

siasa za bungeni ni full funy
 
Ngeleja ameshindwa kabisa kufurukuta. Amekariri zaidi ili kuonesha udhaifu wa CDM. Umechemsha bro, ww na kambi yako yote ya EL mkajipange upya.
 
Lisuu ansema kuwa ile bajeti ya upinzani inaitwa maoni ya upinzani sio bajet,, ndio ngeleja akaendelea kujikanyaga kanyaga na kuji uma uma,, alafu mdee akakomelea msumari,, wa moto na kusema kuwa ngeleja ana machungu ya kuchakachuliwa uwaziri wa nishati na madini,, ngeleja akabaki ana keneka keneka!! Tuh mjengoni
 
Hajakata tamaa, bado anaota kuwepo kwenye Baraza jipya la Mawaziri kabla 2015. kweli uwaziri mtamu jamani loh!....
Ila mtoto wa kiume kuumbuliwa na msichana kama Halima Mdee sijui saa hizi anajisikiaje Ngeleja!?
 
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
 
Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI
Well, Ngereja alikuwa anaenda na rekodi ambayo wao wenyewe waliita "BAJETI MBADALA" na kuichapa kwenye RAIA MWEMA na MWANANCHI na kitabu cha "BAJETI MBADALA" cha upinzani, ambacho Ngeleja alikuwa amekishika mkononi anakisoma. Kama Tundu Lissu anasema kilichosomwa na Zitto ni "maoni" na sio "bajeti mbadala" kwa nini waoe wenyewe CHADEMA wameiita "Bajeti Mbadala"?

CHADEMA wakachemka tena kusema wana jumla ya ma trillioni ya vyanzo vya mapato lakini ukienda kwenye itemization of funding wamesema mapato ya TRA "zero," na mapato ya ndani "zero." Na Ngeleja akashikilia hapo hapo, rekodi zao wenyewe CHADEMA, utakuwaje na ma trillioni ya mapato kama TRA imekusanya shilingi sifuri? Hahahahahhahaahaaaa....

It was extremely interesting session because it captures a snapshot of what will become once CHADEMA holds government kwa sababu Ngeleja kwa experience yake ndefu serikalini na kwa kukosolewa miaka sita aliongea kama mpinzani vile, kwa hoja ulizozoea kusikia kwa wapinzani, ndo maana ikabidi CHADEMA wamtumie Halima Mdee, Lissu na Mbowe kumkabili. Wakashindwa, ndo maana mwisho wa siku Halima alifuta kauli yake kwamba "Ngeleja ana uchungu wa kutoswa uwaziri" kijembe ambacho kilikuwa hoja nyepesi.
 
Back
Top Bottom