Recent content by kirimirimi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Wee mwenzangu umeshika mpini mie nimeshika makali ninayo mengi ya kuongea ila wala sikufichi naogopa uwenda na wewe Ukawa miongoni mwa wasiojulikana maana siku hizi mseme nyinyi tukisema cc basi tunaonekana wasaliti kwa kifupi umeshinda
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Tatum Umeonyesha upande sie tunahitaji fact sio uongo na umbea
  3. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kukimbia nchi kama Jerry Mngwamba?

    Malasusa yuko kwenye kama time ya amani inayounganishwa na baadhi ya viongozi ambao wengi wao w anaonekana kama mahakama wa serikali hivyo kusoma waraka kawa one a haya matumizi wenzie wa serikali hivyo mwacheni atengwe aende zake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huwa simuelewi huyu Ansbert Ngurumo na post zake kama hizi ana maana gani....

    Tatum Una mahaba kama hija elegant basi sio lazima we baki kujibu na kuabudu kama mlivyozoea
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Umeonaee kuna watu wa ajabu hasa humu jf
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

    Msimsahau na nyani ngabu nasikia nae kata toka sijui kuna ukweli wowote tujuzane basi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Kamanda hongera nimesoma hii post mpaka machozi yamenitoka hongera umalitendea vyema taifa hongera sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

    Earith 10 huko unaambiwa kapewa 4000
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Kweli kabisa ni utovu wa nishafuta wa hali ya juu sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo, Mange Kimambi na Evarist Chahali wajuzeni watanzania fursa zilizopo nje ya Tanzania

    Hawa chahali, mange kimambi na answer to ngurumo w anatakiwa waige unapenda wa kunyenyekea kama wa musiba Ndio aneyetoa michango ya maana na ya kizalendo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Reality: Mohammed Dewji, huna lolote la kutu 'inspire' sisi kama vijana

    Muulize mo alienda bungeni kufanyia nn kama sio kuwa kalibu na wanasiasa na watunga sera kwa , manufaa ya kujinufaisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Radio Times FM chaomba radhi kuhusu Interview waliyofanya na Diamond Platnumz

    Hatari sana kwani kuna nini kinaendelea?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

    Mhhhh bwana mshana mie Leo niache nipite kidogo, naogopa TINTED
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

    Sijui itàanza lini kuonyeshwa majukwaani na ikawa si siri tena
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

    Umeonaee mshana, hii hatari na aibu ijayo
Back
Top Bottom