kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Msimsahau na nyani ngabu nasikia nae kata toka sijui kuna ukweli wowote tujuzane basi
Hivi bado una kaa mwananyamalaApumzike kwa amani. Wengine tujifunze kuishi kwa upendo kila mmoja wetu ili siku ikifika twende safari bila vinyongo
Mtaje tu usiogopeApumzike kwa amani, ila kuna mtu mmoja hapa nchini akifa aisee ntaruka kwa furaha
Nilihama toka 2016Hivi bado una kaa mwananyamala
Ok, ok maisha vipi lakiniNilihama toka 2016
YoooooHivi jf inaweza ikawa na watumiaji hata million 1
Duuh Ibra87?? Mtoi??? RipWapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Acha kuchulia watu.
Heaven on Earth was last seen:Monday at 2:14 AM
Jamanii wewe
Wewe??
Heaven on Earth?acha mzaha
Yaan hata hivyo sikuamini kabisa ,nafurahi kwa kuja kujibu na kutoa utata huuniko hai wapendwa huyo member sijui ana matatizo gani na mimi. Imenisikitisha .... who does that????
hata ikitokea nimefariki mimi nafahamiana na members wengi so watu watajua tu sio huyo wa kunizushia halafu hata simfaham
Ni kweli kabsaaa mkuu,,sasa tutafanya nini??Tatizo hizi ID zetu zinafanya tusijue maisha yetu...inaonekana wengi wanakufa ila hatujui kama wanakufa
Siku zotee usifurahie kifo cha mwenzako..Apumzike kwa amani, ila kuna mtu mmoja hapa nchini akifa aisee ntaruka kwa furaha
Mtaje tu usiogope
Ukifa kabla yake? Napo utaruka kwa furaha? Unadhani kifo ni bahati mbaya? Ni pito la kila mmoja na usifurahi akifa mwenzio maana hata wewe siku yako yaja!!
Unadhani wote wanaokufa ni waovu kuliko wanaobaki?Mungu naye anangalia wa kuwachukua, kama mtu anaikosea jamii nzima unataka Mungu amwache wa nin
TutakuchangiaSina 5m mkuu