Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,033
Punguzeni
Nguzo kuu ya awamu ya 5 ni polisi na watekaji .
Mkuu Ansbert ngurumo ni nani unaweza nifafanulia tafadhariAnsbert ngurumo kakimbilia nchini Finland kapewa hadhi ya mkimbizi wa kisiasa
Aliandika makala ipi hatari kwa watawalaMwandishi wa gazeti lillofungiwa la mwanahalisi
aliwekwa kwenye list ya kuuawa bila shaka .Mkuu Ansbert ngurumo ni nani unaweza nifafanulia tafadhari
alitoa siri ya mchakato wa kuhujumu uchaguzi wa marudio jijini Mwanza , mchakato uliosimamiwa na viongozi waandamizi .Aliandika makala ipi hatari kwa watawala