Hapo mahali ni wapi?Nadhani Mshana jr utahitajika mahali ili ueleze tena huu uzi wako kwa mdomo yaani ana kwa ana ili wajiridhishe na hiyo picha yako iliyokamilika ni picha gani hiyo ambayo wewe pekee ndiyo unaijua lakini unaeleze matukio ya watu waliopotea na wengine kupigwa risasi......
Aisee !!!!
yaani kuandika huyu bwana hajui na eti anaendelea kutoa vitisho.....
Yeenaaneeei! Teknolojia ya mazongo inahusika sasa kwakweli
kabisa kapotea nae.....Akifa kweli jamaa kaisha
maneno ya busara sana haya.....