Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Billionaire wa kitanzania, Mohamed Said Bakhresa anawekeza kiasi cha Dola za kimarekani $320million kwa ajili ya kiwanda cha Sukari kitakachojengwa eneo la"Nakambala" Zambia. Kiwanda hicho kitajengwa kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu.

Mwekezaji huyo amepewa ardhí yenye hector 4,000 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda pamoja kilimo cha miwa. Kadhalika Mwekezaji huyo wa kitanzania anapewa TAX holiday ya miaka 10 kuanzia pale kiwanda kitakapoanza uzalishaji. Hii ni pico kubwa kwa serikali ya Tanzania, ambayo kauli mbiu yake kubwa ni uchumi wa wiwanda.

Source: Confidant in Zambia Ministry of Finance
 
Billionaire wa kitanzania, Mohamed Said Bakhresa anawekeza kiasi cha Dola za kimarekani $320 kwa ajili ya kiwanda cha Sukari kitakachojengwa eneo la"Nakambala" Zambia. Kiwanda hicho kitajengwa kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu.

Mwekezaji huyo amepewa ardhí yenye hector 4,000 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda pamoja kilimo cha miwa. Kadhalika Mwekezaji huyo wa kitanzania anapewa TAX holiday ya miaka 10 kuanzia pale kiwanda kitakapoanza uzalishaji. Hii ni pico kubwa kwa serikali ya Tanzania, ambayo kauli mbiu yake kubwa ni uchumi wa wiwanda.

Source: Confidant in Zambia Ministry of Finance
Kuna popoma sijui ni ushamba aunkukosa maarifa yeye hajui nini maana ya biashara au uwekezaji.

Anachojua yeye ni kutaka kusifiwa na kufanya upuuzi kwenye majukwaa.

elim, elim, elim
 
Sawa tu si ndio alivyoamua na hela zake,hajawafunga kamba wawekezaji wengine,hayo ni maamuzi binafsi haingiliwi na mtu mwingine..
 
Billionaire wa kitanzania, Mohamed Said Bakhresa anawekeza kiasi cha Dola za kimarekani $320million kwa ajili ya kiwanda cha Sukari kitakachojengwa eneo la"Nakambala" Zambia. Kiwanda hicho kitajengwa kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu.

Mwekezaji huyo amepewa ardhí yenye hector 4,000 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda pamoja kilimo cha miwa. Kadhalika Mwekezaji huyo wa kitanzania anapewa TAX holiday ya miaka 10 kuanzia pale kiwanda kitakapoanza uzalishaji. Hii ni pico kubwa kwa serikali ya Tanzania, ambayo kauli mbiu yake kubwa ni uchumi wa wiwanda.

Source: Confidant in Zambia Ministry of Finance
Unawezaje kufanya biashara kwenye nchi yenye watu wasio na pesa?
Low purchasing power inaathiri uwekezaji
 
Do tax holiday 10 aisee Tanzania ya viwanda sasa kabala ya kila kitu kufanya yaani mawazo tu tayari watu wanaingia kichwani kwako TAX kabla ya hata jengo
 
Back
Top Bottom