Recent content by kipwele

  1. kipwele

    JamiiForums Tanzania Siri Ya Masheikh Kukamatwa Akiwemo MADUGA

    Abu Hurairah(r.a) ameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema"Yule aliyemwamini Allah na siku ya mwisho Hatamdhuru jirani yake, atamkirimu mgeni wake na ataongea mazuri au atakaa kimya. [Bukhari na muslim]
  2. kipwele

    JamiiForums Tanzania Religious noise!!

    Kujiheshimu na kuwaheshimu wengine Katika Uislamu kila mtu anayo haki ya kuheshimiwa. Heshima ni haki ya mwanaadamu aliyozaliwa nayo. Miongoni mwa mambo ya msingi aliyousia Mtume (s.a.w) katika khutuba yake ya kuaga aliyoitoa katika uwanja wa Arafa 9 Dhul-Hijjah 10A.H, ni kulinda heshima ya kila...
  3. kipwele

    JamiiForums Tanzania Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    usipende kutukana mzazi wa mwenzako akitukanwa wako utajiskiaje? elimu huna kasome ulimi wako utakuponza kama unafurahisha watu basi jua wapo unawakera
  4. kipwele

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

    Dhiki za kwenu wenyewe mwawasingizia wagenii
  5. kipwele

    JamiiForums Tanzania ISIS wanampigania mungu yupi?

    uislamu ndivyo ulivyo
  6. kipwele

    JamiiForums Tanzania Ibada popote! New york taxi driver

    Muogope Mola wako
  7. kipwele

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lashambulia Al Shabaab

    Amani ya duniani itatimizwa kwa mabomu vifaru na silaha kali mnoo SUBIRINI NEW WORLD ORDER IJE NA MASIH DAJJAL tuone kila mtu atakwenda wapi?
  8. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyechinjwa na IS

    kunatofauti kubwa kabisa ya uislamu na uarabu ama waarabu Amani wanayoitaka marekani ni kwakupitia vifaru silaha kali na kila mbinu ila wapinzani wao wakitumia wanaonekana wanavunja taratibu Amani ya china ama korea ipo kwa7bu ukipindisha wanyongwa JE TZ amani yenu na malawi ulikuwa mnaitakaje...
  9. kipwele

    JamiiForums Tanzania China yanyonga magaidi

    Uislamu ndivyo ulivyo
  10. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mohammad is top name for baby boys in England

    uislamu
  11. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mohammad is top name for baby boys in England

    muhammad(s.w.a)
  12. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mohammad is top name for baby boys in England

    muhammad
  13. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mohammad is top name for baby boys in England

    Yoyote yule enyi watu anayemzulia jambo lolote la uongo mtume muhammad(s.a.w) hakika anapata madhambi makubwa sna na siku ya qiyama atarudishiwa na atapata adhabu kali
  14. kipwele

    JamiiForums Tanzania Mohammad is top name for baby boys in England

    Prophet muhammad peace be upon him
  15. kipwele

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Ama kweli mliyoyaficha moyoni ni makubwa zaidi ya yale mnayoyadhihirisha machoni mpaka tufwate njia yaupotevu kama ninyi ndo mtakuwa radhi na sisi kamwe haliwezekani hilo ni darasa kwetu sisi waumini wacha tulifanyie kazi yatosha
Back
Top Bottom