China yanyonga magaidi

China yanyonga magaidi

Hivi hata mtu akifanya Ugaidi bado mnamchukulia ni Mwislam?

Kama mtu kajitangaza ya kuwa yeye ni muislam na akafanya ugaidi au baya lolote lile ataendelea kuwa muislam,vivyo hivyo kwa muumini wa dini yoyote ile iliyopo chini ya jua. Kazi ya kuhukumu ni yake M/mungu.
Nalog off
 
Vp tukianzisha sheria ya kunyonga wanaochepuka nao si kama magaidi wa mapenzi :flame:
 
Uislamu ndivyo ulivyo
 
Attachments

  • 1409788512328.jpg
    1409788512328.jpg
    85.1 KB · Views: 203
Wachina sijui kwanini wanaing‘ang’ania Xinjiang ilhali wakazi wa eneo husika hawawataki.

Acheni kushabikia msiyoyajua, kupambana kutaka uhuru wa eneo lako kama ni ugaidi basi hata Hayati Mandela nz Rais Mugabe ni magaidi.
CHINA HAS TO FREE XINJIANG TO XINJIANGESE

daah hilo jina linatamktaje aisee?
 
Kama mtu kajitangaza ya kuwa yeye ni muislam na akafanya ugaidi au baya lolote lile ataendelea kuwa muislam,vivyo hivyo kwa muumini wa dini yoyote ile iliyopo chini ya jua. Kazi ya kuhukumu ni yake M/mungu.
Nalog off

Kama kazi ya Kuhukumu ni ya Mungu mbona mwanamke akikamatwa anazini au akiolewa na asie mwislam mbona huwa mnawaua?
 
Sheria ya mzinifu iko wazi nadhani hata biblia inaijua sheria hiyo,je ni mwanamke gani aliyeolewa na asiye mwislam na kuuawa?
Nalog off
 
Back
Top Bottom