Religious noise!!

Religious noise!!

Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.

Zitaendelea hadi siku ya mwisho wa biniyadamu kuwepo ulimwenguni.

Salama yako na mbadala ulomzuri ni weye kuenda ishi porini na wanyama au kuihama Dunia.
 
yaani ni shida kabisa...kibaya zaidi km uko karibu nao ukitaka kuangalia taarifa ya habari na ndio wanaanza mambo yao hakuna kusikilizana tena
 
Kwani Dubai ndiyo nani? Why not American! You must be having some mental problems
 
Obay Miskiti IPO spika zao za kiobay obay huku uswaz spika zinakelele na zinakoroma nawakati ile zinatestiwa tu lazma uruke kitandani mbio sana woooy korrroooo Alhah akbarrr mi ilifika kipindi mtoto Wangu mdogo WA miez kumi ulikuwa anapiga adhana hahahaha siku nilipogundua nilicheka sana....
Akiskia kimeguswa tu anafatisha sauti ya adhana by the way she is a muslim not so bad.......
Duuu.Hiyo kali.Lakini hata kama she is a muslim nahisi hayo makelele yanamuathiri kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yake.
 
umenikmbsha kanisa moja lipo ilemela mwanza karbu na kituo cha hiace kanisani,usku huweZ LALA WAKIANZA
 
Kuna kanisa hapa mikumi TAG ni balaaa yaani wakianza kutandika mziki mida ya jioni hadi nne usiku ni baraa
 
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
mimi nakuunga mkono lakini umefinya sana mada yako kiasi chakuonekana uko upande wa dini fulani, ina maana makelele yanayokukera ni ya adhana tu? kwa ujumla watanzania kwa sasa hatuna nidhamu kabisa makanisa nayo yanapiga kelele usiku kucha sijui wanasali usiku huo wa maanani, mitaani nako kila baada ya nyumba kuna bar na disko kubwa watu hatulali usiku kucha ngololo ngololo, watu wengine hawana heshima hawajali wenzao ukipanga na watu wa aina hiyo utajuta vyumbani wanapiga muziki wa klabu yote hayo ni ishara upungufu mkubwa sana wa nidhamu. tuyakemee huko huko kwenye makazi yetu tukishindwa tutunge sheria.
 
Tuheshimu Dini mimi natoka upande mwingine wa dini lakini hata sie mahubiri ktk sehemu za wazi hunikera sana zile spika zinavyochoma masikioni japo ni dini yangu!ni vema tuvumiliane tu wandugu
 
Kujiheshimu na kuwaheshimu wengine
Katika Uislamu kila mtu anayo haki ya kuheshimiwa. Heshima
ni haki ya mwanaadamu aliyozaliwa nayo. Miongoni mwa mambo ya
msingi aliyousia Mtume (s.a.w) katika khutuba yake ya kuaga aliyoitoa
katika uwanja wa Arafa 9 Dhul-Hijjah 10A.H, ni kulinda heshima ya kila
mtu. Aliusia:
“Enyi watu hakika damu yenu (yaani uhai wenu), mali zetu na
heshima yenu ni vitu vitakatifu kamwe visiharibiwe hadi
mtakaposimamishwa mbele ya Mola wenu, kwa utukufu wa vitu hivyo ni
kama ulivyo Utukufu wa siku hii, na mwezi huu na mji huu. Kwa
hakika mtakutana na Mola wenu na atakuulizeni juu ya vitendo vyema.
Je, nimefikisha ujumbe? Ee! Allah shuhudia”.
Kuwaheshimu watu wa dini nyingine kwa kutowabughudhi,
kutowadharau au kutowadhalilisha kwa namna yoyote ile:
“Wala msiwatukane ambao wanaabudu kinyume cha Allah, wasije
wakamtukana Allah kwa jeuri zao bila kujua....” (6:108).
“Waite (watu) katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema,
na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako ndiye
anayemjua aliyepotea katika njia yake.. (16:125).
 
yaani ni shida kabisa...kibaya zaidi km uko karibu nao ukitaka kuangalia taarifa ya habari na ndio wanaanza mambo yao hakuna kusikilizana tena

Muongo wewe hawapigi kelele kias hicho
na ni muda mfupi tu
 
Muongo wewe hawapigi kelele kias hicho
na ni muda mfupi tu
kelele kutoka nyumbani za ibada na bar ni tatizo. Kunamisikiti ambayo adhana, swala mawaidha wanayapigia kwenye speaker. Kuna makanisa ambayo sala yote na miziki mikubwa inapigiwa kwenye maspeaker. Hii Katiba "dhalimu" ya sitta et. al. Haijazungumzia noise pollution kama kosa la jinai? Would have something in it if they had...kwa vichwa nazi nilivyovisikia vikijadili sitegemei
 
Hama kakae porini kusiko na watu.
 
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.

hivi umewahi kupanda basi lenye kwaya ndani dsm-mby?
Athana dakika 5 na kwaya usiku kucha vinalingana?
Hizo kwako ni kelele kwa wenzio wanajaribu kukumbushana wajibu wao kwa muumba
 
hivi umewahi kupanda basi lenye kwaya ndani dsm-mby?
Athana dakika 5 na kwaya usiku kucha vinalingana?
Hizo kwako ni kelele kwa wenzio wanajaribu kukumbushana wajibu wao kwa muumba

Organised noises=songs
Disorganised noises=chaos
 
Hata mimi nakerwa na haya maspika jamani. Yawe ya kikristo au ya kiislam. Kwangu kengele ya kanisani is not kelele coz ni tune ya kengele ya church haiumizi masikio wala kichwa. Hayo maspika tena wanatishana ooh ucposali moto wa jehanam jeneza kitanda chako, sanda..blah blah blah.. Puh! Upuuzi mtupu! Huyo Mungu anaetoa threats kiac hicho hata simtaki
 
Hama kakae porini kusiko na wstu,aliyejirani na kituo cha daladala,aliyejirani na stand ya mabasi ya mikoani,uwanja wa michezo,shule,soko nk,nao waseme pia wanapigiwa kelele.
 
Back
Top Bottom