Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Nope. Muhammad is not in the top ten.Wewe mbwiga labda huelewi kilichoandikwa, wacha tukutafsirie, wamesema jina la Muhammad halipo kwenye 'official' top ten, kutokana kuandikwa/kutamkwa tofauti, kuna yanayoandikwa/tamkwa Muhammad kuna Mohammad na Mohammed, yote hayo yana maana/lengo moja, ukiyajumlisha hayo maana yake jina Mohammad/Muhammad /Mohammed linaongoza likiwa limeliacha kwa mbali sana jina linaloshika nafasi ya pili... Umeelewa, linaongoza kiuhalisia.