Recent content by kipre

  1. K

    Chaguo Sahihi?

    Asante kwa ushauri nitajitahidi japo najifeel tofauti sana
  2. K

    Chaguo Sahihi?

    Kweli kazi ninayo ilikuwa ridhaa yangu mwenyewe ila sio sasa,na naogopa kumuumiza mtoto wa watu
  3. K

    Chaguo Sahihi?

    wakati namuoa nilihisi nampenda ila nimegundua sivyo
  4. K

    Chaguo Sahihi?

    Umri wangu ni zaidi ya miaka 30,Why?
  5. K

    Chaguo Sahihi?

    Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?
  6. K

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Nadhani wewe ndo wa kukunwa maana hujui mpaka leo kuwa Mh Mnyika ni maarufu zaidi ya mkweo,hizi kauli za watu kutafuta umaarufu zinatolewa na watu waliokufa akili tu.na mara nyingi viongozi wa bunge wanatoa kauli za kutafuta umaarufu pale wanapoona wanazidiwa na hoja NZITO zinazotolewa na vijana...
  7. K

    Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Nadhani wewe ni m1 wa watu mnaopotosha madai ya madaktari,hawadai posho tu kwa ujumla madai yao yanahusu mazingira yote yanayohusu kazi yao,kama vifaa tiba,mazingira mazuri ya kazi na posho,sasa watu wenye upeo finyu kama nyie ndo mmeshikilia jambo moja tu Posho posho,mbona hivyo vingine ambavyo...
  8. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Nadhani wewe ndo huna maana tena kabisa,tatizo ni madaktari kukataa kufanya kazi au ni serikali kukataa kutimiza wajibu wao?Mafisadi wanataka kula kodi wenyewe sasa huo upuuzi hatuutaki,kodi tunalipa wenyewe wao wale peke yao.MADAKTARI UNGANENI MHAKIKISHE HAMRUDI KAZINI HADI WALIOFANYA HUO...
  9. K

    Facts: Chanzo cha Mgomo wa Madaktari

    Yani umenifanya nicheke mwenyewe mpaka watu wananishangaa,kweli Tanzania kiboko Mganga wa kienyeji anampita Dr professional mshahara!hii kali
  10. K

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    Usichanganye mambo ya dini kwenye migomo,kumbuka hata hizo za kidini zitazidiwa ikiwa za serikali ziko kwenye mgomo cha muhimu ni serikali kuwalipa madr kutimiziwa haja zao siasa kuwekwa kando kwenye mambo ya kitaalam.
  11. K

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara anamhujumu kisiasa Kikwete: Waislam

    Binadamu kughafilika ni jambo la kawaida hasa kwenye mazingira ya tension kama hayo,kwa upeo wangu mdogo wa ndanda palivyo nimewahi kufika mara moja,eneo lote limekaa kimissionari hata shughuli wanazofanya pale haziendani na uislam mfano mmoja kufuga nguruwe so sidhani mtakubali msikiti ujengwe...
  12. K

    Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

    Sasa angekuwa na domo bubu angempata vipi Josephine?au wake za watu ndo wanatongozeka kirahisi?inaelekea una uzoefu na mkeo kutongozwa na kukubali kirahisi.crap
  13. K

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara anamhujumu kisiasa Kikwete: Waislam

    Sisi kwa sisi inaelekea una element za udini,Mh Simbakalia leo asubuh alikuwa TBC na kaelezea vizuri sana kuwa serikali imeruhusu wanafunzi wote wa kidato cha sita wafanye mtihani unaoanza j5,kaelezea pia hizo zinazoitwa vurugu zinachochewa na externa forces katoa mfano wa hao wanafunzi badala...
  14. K

    Tanzania Kweli kichaka cha mafisadi

    Habari wana jf,leo katika taarifa ya habari za michezo pamoja na kwenye baadhi ya magazeti kuna taarifa kuwa zile sh.milion saba timu ya wanawake ya Twiga walizochangiwa na timu ya wabunge zimechakachuliwa na TFF kupitia meneja wa timu ya wanawake, wachezaji wametishia kugomea mchezo wao na...
  15. K

    Samuel Sitta huwa anafikiriaje?

    Helo!Sita kaongea ukweli tunashuhudia madini na uwekezaji mwingine hauna tija kwa taifa,hivyo hata hilo zao halitakuwa na faida zaidi ya uporaji wa ardhi kwa wanyonge kama unavyoendelea sehemu mbalimbali Tz
Back
Top Bottom