Recent content by kipps

  1. kipps

    Anataka kumuacha kisa ufupi

    Ha ha ha ha ha ha ha
  2. kipps

    Anataka kumuacha kisa ufupi

    Maskini huyo kaka nipe namba yake me ni mfupi mwenzio nimfariji kidogo
  3. kipps

    AJIRA : Huu utapeli hadi lini imenitokea asubuhi hii

    Hata me alinitumia hiyo msg kuna kazi niliomba zoom,kampuni ya barn logistic,sasa hapo kabadilisha jina la kampuni tu,jina ni hilo hilo na namba ya simu ni hiyo hiyo
  4. kipps

    Natafuta kazi

    Mimi ni fresh graduate nina degree ya logistics and transport management na diploma ya cargo kutoka IATA,natafuta kazi au internship, nina experience kwenye fleet management niliyoipata wakati wa practical training, naomba msaada kwa yoyote anaeweza kunisaidia,nawasalisha.
  5. kipps

    Shule ya msingi ya Asisi karibu na Kandoto sekondari; kama una mtoto hapo soma hii na chukua hatua

    Watu ni wabishi tu ndugu,hafu hawasomi kwa makini wanapinga tu
  6. kipps

    Shule ya msingi ya Asisi karibu na Kandoto sekondari; kama una mtoto hapo soma hii na chukua hatua

    Jamani muwe mnasoma vizuri kasema ni kwa wale watoto wa wadogo wa pre unit au chekechea. Kwani huyo ndugu yako ni chekechea?
  7. kipps

    Wadada tuseme 'NO' kwa wanaume walio na umri zaidi ya miaka 40

    Mhhh we nae embu toa roho ya kishetani hapaa...unawaza kuua tu
  8. kipps

    Wadada tuseme 'NO' kwa wanaume walio na umri zaidi ya miaka 40

    Kama yupo yupo kweli ila kama anajielewa fedha IPO miradi ya kutosha nimkatae kwa lipi yaani namkubali speed mia...nani ahangaike na vijana hao wa 45 hadi 60 ndio wazuriii
  9. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Jamani Raul ni kiboko huyu kaka loooh sasa kumponda violla eti hajui kupika blah blah ha ha ha ha huyu kaka ni maumivu ka jipu la kwapa looh
  10. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Ha ha ha ha ha Lara utanivunja mbavu mwenzio loooh nakupenda my Dada yaani unanitoa stress zote na hii story..ubarikiwe sana
  11. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Asante Lara nishachukua mbinu moja kati ya hizo kumi namoja
  12. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Kuna part imenigusa hasaa yaani nilijiona me ni violla ile msg ya mpawa loooooh kuna wakati unakua unasubiri msg matata kutoka kwa hubby ghafla ikiingia unakuta ni mpawa haaaaa
  13. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Hafu Raul ni chubby sasa sipati picha na hicho kiboxer alikuwaje ha ha ha ha
  14. kipps

    Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Ha ha ha ha ha ha ni balaaaa
Back
Top Bottom