AJIRA : Huu utapeli hadi lini imenitokea asubuhi hii

Dec 11, 2016
88
46
Hii ni kali kwa kweli hivi kuna watu ambao mpaka sasa wanaamini kupata pesa kupitia mambo kama haya
SC20170120-105938.png
SC20170120-105956.png
 
ungemwambia mkutane kisha unampeleka police hawa wapo ndani ya haya makampuni ya ajira
 
Huu ujinga sijui utaisha lini message kama hii nilitumiwa mwaka 2013 ila hadi leo bado watu wanatumiwa, maana yake kuna watu wanakamatika

Hii ni kali kwa kweli hivi kuna watu ambao mpaka sasa wanaamini kupata pesa kupitia mambo kama haya
SC20170120-105938.png
SC20170120-105956.png
 
ungemwambia mkutane kisha unampeleka police hawa wapo ndani ya haya makampuni ya ajira
These guys are so smart hawezi kukubali mkutane yupo radhi akupigie simu zaidi ya mara mia kukusisitiza umtumie hiyo hela kuliko muonane
 
Hata me alinitumia hiyo msg kuna kazi niliomba zoom,kampuni ya barn logistic,sasa hapo kabadilisha jina la kampuni tu,jina ni hilo hilo na namba ya simu ni hiyo hiyo
 
hawa dawa yao majibu tu ya kuzinguakama hiyo aliyojibiwa...maana hapo uunajua tu ana njaaa hakunakazi anataka ale buku kumi kumi hizo
 
Mwenyewe nimetumiwa Juzi tu hapa
Wakulalamikiwa Zoom
Wanatoa taarifa za Wateja wao kwa watu wasio wahaminifu
 
Back
Top Bottom