Recent content by kiponzelo

  1. K

    Waziri Mulugo azidi kuandamwa

    mhesimiwa kanusha kwa kuweka vyeti vyako
  2. K

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    napeeeeeeee
  3. K

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    kaka naona unatapata, kama uwaziri huuwezi nenda kalime
  4. K

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    ukweli ni kwamba siku zote,damu ya mtu haipotei tazama morogoro polisi waliua wakasema cdm,sasa kwa akili ya kawaida hebu tizama askari aliyeelekeza mtutu tumboni kwa mwandishi.swali je ni mwananchi aliyerusha bomu kama kamanda anavyosema wote pale wangekufa mimi sijui tafakari
  5. K

    Hela za matibabu ya Sajuki zaibiwa

    mmmmmmmmmmm sijui
  6. K

    Lukuvi kuwakataza wabunge CCM kusaini hii imekaaje?

    elimu ni kitu kizuri sana mheshimiwa lukuvi ni jamaa anayevuluga sana mkoa wa iringa,huyu jamaa ndiye alisababisha kandoro ashindwe kula za maoni kusudi aje apate uwaziri yeye tunajua sana.kwanza ni mb ambaye jimbo lake linaongoza kwa njaa,pia ni jamaa anayehonga sana wakati uchaguzi.pia ni...
  7. K

    Maghembe Azua Kizaa zaaa!

    napita
  8. K

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Nami sina imani na huyu jamaa,kwani si kambi ya el
  9. K

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    wana jf mtei kwa mawazo yake,naunga mkono hauhitaji phd kujua kuna idadi ngapi ya waislam and wakiristo
  10. K

    Afro Plus ni kiwanda cha nini?

    huyu jamaa mwingira ana nguvu gani,tazama bagamoyo,tazama,ishu ya kubaka serikari kimya tu,jamani tutaisha
  11. K

    Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    bana ni mtu ambaye namfananisha na dr.wa miti shamba sina uhakika kama elimu yake inamsaidia
Back
Top Bottom