480,000/= Tsh kwa ajili ya wanachuo Arusha Tech. College yacheleweshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

480,000/= Tsh kwa ajili ya wanachuo Arusha Tech. College yacheleweshwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by javascript, May 4, 2012.

 1. javascript

  javascript Senior Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hicho ni kiasi kwa ajili ya kufanya industrial training (field). imecheleweshwa kwa visingizio kama;
  -mgomo wa madaktari
  -mafuriko ya dar

  hivyo ndio visingizio principal alivyosema leo.
   
 2. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kazi ya NGIMA iyo! Everywhere!
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Siku hizi "kiwango" kimeongezeka!? Angalau leo nikienda triple A sintakutana na vurugu zanu!
   
 4. k

  kiponzelo Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jengo fupi bado lipo?
   
Loading...