TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

kwani TV zingine zinazojiendesha kibiashara zinawezaje?

Si wawaombe ushauri wengine.

Kuna vitu vingine huwa sielewi kabisa.
 
kama mtakumbuka ,wakati wa ufunguzi walialikwa watu wengi,miongoni mwao ni wafanya biashara wakigeni na wawekezaji wa hapa nchini.kama mjuavyo kunawatu huwa wana maneno au semi,kauli zenye mashiko na zenye kujenga pia ni changamoto kwa watu wenye kufocus mbali,watu wenye future.nakumbuka mzee REGINALD MENGI, CEO wa ITV RADIO ONE,alisema ni vigumu sana kwa tbc kufanya kazi kiushindani na nivigumu sana kushindana na viombo vya habari vya watu binafsi.moja kwamoja hapo mzee mengi nikwamba alikua anajua urasimu na ubadhirifu ni mkubwa sana hivyo pamoja nakupata ruzuku kutoka serekalini alakini mambo bado yana wawia magumu.serekali yakifisadi hakuna kitu kitakacho enda kwa mafanikio kwani managment iliyopo ni yakishkaji zaidi kuliko kuchapa kazi.bora ife haina manufaa yoyote kwa kizazi kilichopo
 
bora ifungwe ili ccm wafungue tv yao wenyewe..maana msaada wao umekuwa wa kichama zaidi badala ya kutoa habari bila biase kwa wa tz.ikifungwa nitafurahi sana binafsi
 
Taarifa za watendaji wa juu wa TBC kutangaza uwezekano wa kituo cha matangazo kufungwa ni sawa, kwa vile wao wameuza sana na serikari katika kuikingia kifua pale ilipohojiwa.
Kukosa fedha ni matokeo ya kujipendekeza kwake kwa serikari isiyo sikia wala kujali.
Ngoja TBC ifungwe tupate habari zilizosawazika toka vituo vingine vya matangazo.
 
unajua siwaelewi kabisa wanavyong'ang'anizia wapewe hela wakati tunaelewa fika vyombo hivi vinajiendesha kibiashara, wameanza tanesco sasa tbc, kesho atakuja dawasco, keshokutwa mwingine tena, nlilaani sana siku walivyoiuza tbc kwa startimes, na waziri(mkuchika) alipobanwa akatolea maelezo rahisi tu wameiuzia star times hisa za asilimia 71 so serikali bado yamiliki tbc, huu ni udwanzi kabisa na hawa watu siwaelewi!
 
Vp jamaa zetu wa ''HUNILIPI SIKULIPI'', ''UMEFULIAAAA......'', ''PIGA CHINI''

Tamaa mbaya sana, walikimbilia tbc wakijua ni
Nchi ya asali na maziwa. Wapo na wale wengine kina Maimatha, jamaa Wa kipindi cha uswazi. Haya sasa! Wajiandae kusaka kazi kwingine
 
Yeyote anayesapoti Magamba dhambi yake ni mpaka kifo nafikiri tuna mifano hai mingi sana hapa
 
promo yote wanayoifanyia ccm wanashindwa hata kuwagawia ruzuku.!
 
Fungeni hiyo TBC haina faida kwa watanzania walio wengi, hiyo ni mali ya CCM na vibaraka wake.
 
Back
Top Bottom