This is one of the stupid arguement I have ever seen in life! Hawa jamaa inaonekana wako Msibani (tafsiri yangu). Sasa kama mtu ni mwizi/fisadi vyovyote vile ukimkuta eneo kama hilo usimsalimie? Huo sio mfumo wetu wa maisha.
Mtaniwia radhi kwa swali nitakalouliza! Hivi tangu hao wanaodaiwa kushindwa kulipa wamekopeshwa mpaka sasa ni muda gani? uelewa wangu unaniambia kuna kitu kinaitwa grace period kwenye mkopo na fedha nyingi kama hizo say 5 billion huwezi kukopa na kuanza kulipa mara moja. Kumbukumbu zangu...
Hili jambo hata mi sijamwelewa kabisa Manumba! Kenya imepeleka Jeshi lake Somalia kuwatafuta wale wahispania wa MSF ambao Kenya inadai wametekwa na Alshabab, na pia kuna matukio kadhaa nchini Kenya ambapo wametuhumiwa. Uganda na Rwanda zina majeshi yao kule Somalia. Sasa sisi hata siku moja...
Kwa mara ya mwanzo nilipojiunga hapa jamvini kulikuwa na great thinkers lakini naona hata thinkers wa kawaida wanaishia! Jamani tusijadili hoja kwa ushabiki, tutumie akili za kawaida! Binafsi sina uhakika na mmiliki halali kama ni Jiji au NHC! My take suala la kupanga kwenye nyumba ya Mtu...
Kuna tatizo moja kubwa hapa kwetu Tz! Watu wote wanaokuwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maeneo ya kazi na hata kanda wengi wao wana uelewa mdogo sana, pia wanaamini kwamba wanapokutana na waajiri huwa wamekutana na wagomvi wao na matokeo yake wanakosa uwezo wa kujenga hoja na kuishia...
Kama mdau ulivyosumbuliwa na hili neno hata mimi pia lilinisumbua sana kipindi fulani! Maana yake halisi ni mtu ambae ameajiriwa katika nafasi fulani na hana uzoefu nayo kwa maana kwamba hajawahi kuifanya na kwa kawaida huwa chini ya uangalizi wa mtu mwenye uzoefu kitaalamu huitwa apprenticeship...
Unajua uzuri wa kitu hutegemea aliekitoa, jambo linaweza kuwa zuri na lenye mashiko lakini mtoa mada anakosa mashiko (Fine! wenyewe wanaita ni stereotype) ila sio siri hata mimi nikimsikia Kibonde anaongelea kitu fulani hata stesheni huwa nabadili , ila kama ni Jenerali Ulimwengu hata kama nina...
Kama sikosei katika nchi za Magharibi kuna vyuo vinatoa shahada za Public Misinformation! Nawashauri CCM wapeleke watu wao huko kwa sababu hawana kabisa uwezo wa kutunga uongo na sisi wananchi tukadanganyika!
Tinde ni mbali kidogo na Igunga, unapita kwanza Nzega ambayo ni njia panda ya kwenda...
I declare interest! Mi ni mtanganyika, kuna mambo kadhaa huwa najiuliza kila mara hivi ni kweli we are the source of their poverty? (Wanzanzibari!) think of their life style, think of their attitudes towards work, think of their traditional values. Ni Tanganyika inayowafanya Wanzanzibar wawe na...
Siasa uchwara ktka mambo ya kitaalam ndi zimetumaliza na zitaendelea kutumaliza eti kwamba wabunge wana akili kuliko proffessionals! Haiwezekami hata kidogo!
Ndio maana tulitaka tuhuma iwe ya rushwa na uchunguzi ufanyiwe juu ya rushwa, kitu ambacho kinge wabana pia na wabunge wanaongwa, lakini sasa ni kama wanapooza swala husika.
Maana kama wabunge wanapitisha bajeti kwakuhongwa unadhani hiyo Bajeti ipo kwa Maslahi ya nchni kweli? Ingelikuwa ni...
Ni takribani miaka 47 tangu Tanganyika imeungana na Zanzibar kutengeneza Tanzania tuliyonayo leo, ni muda wa kutosha kabisa Lakini shutuma dhidi ya Muungano zimekuwa nyingi mno na mimi pamoja na watu wote wenye Busara zao na hekima tunaamini kwamba hakuna jambo lisilozungumzika likaisha tena kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.