Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,369
- 33,010
I hope vyombo vya ulinzi na usalama vinajipanga tutawasaidiaje jirani zetu wa Kenya. Kwa wale mnaodhani eti tusipo wachokoza hawatakuja kulipua Tanzania niwaulize sisi tulikua na ugomvi gani na Osama? Mbona watanzania wenzetu waliuliwa? Na Mtanzania mwenzetu amefungwa katika magereza ya Marekani kwa kuhusika katika tukio hilo. Hivi hamjuhi kwamba maharamia wa Kisomali kuna kipindi wanataka kuteka meli ktk bahari yetu? Mliwahi sikia majangili wa Kisomali waliokua wanateka watalii na wenyeji huko Ngorongoro? Tunapaswa kushirikiana na wenzetu wa Kenya kutafuta ufumbuzi wa kudumu. Tukikaa eti sisi hatuhusiki nawaambieni ndugu zangu haya tunayo sikia huko Kenya yatafanyika hapa.yule wakala wao alishalipa ile laki
au ilikuwa ni danganya toto?
Hapa hakuna cha A-shabaab wala nini, ilikuwa inatafutwa sababu na kisingizio cha kuzuia maandamano ya kupinga malipo ya Dowans tu. Yote hii ni kwa sababu ccm ina mkono wake katika hayo malipo. Mwenye macho haambiwi tazama!!
tuna cha kula cha kutosha na ile pesa ya rada na dowans tutazinunulia silaha...na watanganyika walivyo na mapenzi na nchi yao watatoa magari yao na mifugo na kujitolewa kuipigania nchi yao..hivyo usogope si uliona kule comoro alikufa mjeshi mmoja ingawa wengi wana vitambi
hebu waache kujishaua wasije hamia huku bure[/Q
MBONA INATISHAAA TENA HII
Amewaomba watanzania wawe macho na tishio la kushambuliwa kwa nchi yetu...bila kusema tujihami vp tukae nyumbani tu au tufanyaje....
Hili jambo hata mi sijamwelewa kabisa Manumba! Kenya imepeleka Jeshi lake Somalia kuwatafuta wale wahispania wa MSF ambao Kenya inadai wametekwa na Alshabab, na pia kuna matukio kadhaa nchini Kenya ambapo wametuhumiwa. Uganda na Rwanda zina majeshi yao kule Somalia. Sasa sisi hata siku moja hatujawahi kuwachokoza na hata wao hawajawahi kutuchokoza sasa watushambulie kisa nini! Alshabab sio machizi the have got missions to accomplish! Otherwise Serikali ituambie kwamba wana mpango wa kuwachokoza.
mkuu wamesema watawashambulia wakenya popote walipo, ina maana wakisikia kuna wakenya tanzania wanaweza kutushambulia, so mimi nadhani dci hajakosea, ni suala la kuwa makini
hebu waache kujishaua wasije hamia huku bure
Hofu na mashaka ni kwenu mliolundikana DSM, sisi tuliopo mikoani hatuna hata wasiwasi na hao Al-Shabiby wenu. Acheni wawalipue tu ili mpate akili za kurudi kwenu mikoani. Watu wengine hamna hata ajira lakini mnajazana DSM tu, sasa mnategemea nini hapo? Ni kichapo tu kutoka kwa Al-Shabiby kudadadeki.