Recent content by Kipepeo Tours

  1. K

    Mdee, Bulaya, Jacob, Kileo, Mwago na Asenga Wanashikiliwa Polisi Sitakishari, wadaiwa kufanya fujo Segerea

    Jamani Ndugu zangu tujitahidi kufanya siasa zenye kuheshimu mamlaka Na sheria zilizowekwa, tuwe Na upendo katika matamshi yetu tunapofanya mikutano yetu jambo, sio lazima kutoa luga za kuuzi Au kejeli ndio usikike hata biblia imesema tuheshimu mamlaka ya duniani Na mbinguni niwaombe basi Ndugu...
  2. K

    Airtel hawakamatiki kwa vifurushi murua

    Kwa Kweli napenda kuchukua fursa hii kuipongeza kampuni ya Airtel Kwa vifurushi murua Na Kwa Kweli wako fair sana big up sana air tel , si hekima wala ubinadamu kusema vibaya kampuni za watu Ila kampuni fulani ukiweka kifurushi cha shilingi 10 elfu Kwa Simu mbili unaweza kuambia imeisha hata...
  3. K

    Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

    Tusali Sana Na Kuwa Na marafiki wenye hofu ya mungu Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. K

    Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Pole sana Ila sali kila mtu ana Mtu wake amini hivyo ushauri wenye Tija Na aina ya marafiki uko nao watakujenga Au versa uje inbox wpfnetwork@gmail.com Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. K

    Mastaa 10 waliolipwa fedha nyingi zadi duniani mwaka uliopita kwa mujibu wa jarida la Forbes

    Bahresa mbona hayumo? Dangote je? Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. K

    Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

    Mawazo chanya Siku zote Mungu huyabariki [emoji1545] Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Usimkatishe plz kama kifaranga ni 1200 atapata vifaranga 125 atakapokuwa Na majogoo 10 Na mitetea 115 baada ya Miezi 4 atakuwa Na kuku wangapi? Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. K

    Wataweza kweli? Hata wakiungana? Magufuli Babalao!

    Tutamkumbuka daima Rais wetu huyu ngojeni kidogo tu tumalize miradi yetu yote Na umeme ushuke bei Na tuanze kuuza umeme nje nchi , uzalishaji viwandani utapanda sanaaaa Mungu I bariki Tanzania endeleeni kubeza lakini maendeleo hayabagui wala hayana chamaaa hilo muelewe jamani Sent from my...
  9. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Huku africa tumshukuru Mungu saana tuna kila Kitu Na Hao usa Na wenzao hawezi chochote bila sisi africa wamefika walipofika kupitia sisi africa ni tajiri ukiifahamu historian wala hutawasifia wala kuwapongeza mabeberu tujitahidi kuchapa Kazi . Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Jamani Ndugu zangu watanzania Naomba tuwe wakweli Mungu anatuona Mh rais amefanya Mengi mazuri Kwa nini hatuoni jamani ukiangalia miradi mikubwa ya maendeleo amedhubutu Na amefanya Kwa hela Zetu wenyeweeee angalieni majirani Zetu jamani nchi Zao wanadaiwa pesa za ajabu Na wachina lakini sisi ni...
  11. K

    Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

    Jamani naombeni sana Mh rais mumuache mambo mazuri mengi mno ametufanyia jamani mtamkumbuka sana Huyu rais mimi binafsi namkubali sana Pamoja Na maneno yenu Mabaya lakini magufuli anawawekea lami nyakanazi Mpaka Kigoma mkoloni mwenyewe aliishindwa hiyo barabara. Tunduma Mpaka sumbawanga pasuliwa...
  12. K

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    Kila Kitu mtoto apewe Kwa kiasi Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa Kweli tanesco tangu waanzishe huduma ya Luku Kweli sina lalamiko Na wao hili la kukatika lipo Ila nikilinganisha kile kipindi cha majenereta Kwa Kweli Kwa sasa hivi naona Niko paradise Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mi ni Mteja wao mkubwa sana Kwa Miaka mingi sana ndani Miaka hii Mitatu ya mwisho vocha ya dakika 40 inaisha dakika 20 muliangalie hilo Kwa ni Njema tu Kwa Kweli tusaidiane sote tusonge mbele Ndugu zangu unapopiga Simu una tatizo unasubiria muda Mrefu wakikutangazia huduma Zao Sent from my...
  15. K

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Peleka shauri lako TCRA Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom