Wataweza kweli? Hata wakiungana? Magufuli Babalao!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hii ni 'Chant' kutoka kwa katibu mwenezi wa CCM ndugu Hamphrey PolePole akitest mitambo tu kwa kuwaimbisha wanaCCM huko Masaki.

Ama kwa hakika Magufuli amerejesha heshima ya CCM kwa utendaji wake.

"Wataweza kweli? ..aa wapi!
Kushindana nasi?...aa wapi!
Hata wakiungana?...aa wapi!
Matusi kututukana?...aa wapi!

Ngosha Babalao!!

Ni mimi Jingalao!! Pamoja na Babalao!!
 
Ni mimi Jingalao!!Pamoja na Babalao!!
Naunga mkono hoja
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
 
Hii ni 'Chant' kutoka kwa katibu mwenezi wa CCM ndugu Hamphrey PolePole akitest mitambo tu kwa kuwaimbisha wanaCCM huko Masaki.
Ama kwa hakika Magufuli amerejesha heshima ya CCM kwa utendaji wake.

"Wataweza kweli? ..aa wapi!
Kushindana nasi?...aa wapi!
Hata wakiungana?...aa wapi!
Matusi kututukana?...aa wapi!
Ngosha Babalao!!

Ni mimi Jingalao!!Pamoja na Babalao!!

Tutamkumbuka daima Rais wetu huyu ngojeni kidogo tu tumalize miradi yetu yote Na umeme ushuke bei Na tuanze kuuza umeme nje nchi , uzalishaji viwandani utapanda sanaaaa Mungu I bariki Tanzania endeleeni kubeza lakini maendeleo hayabagui wala hayana chamaaa hilo muelewe jamani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utashuka toka mbinguni eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasi ya Babalao imewachanganya sana mafisadi
 
Hebu fanya sample ya magu kupendwa na hiyo post yako kati ya Mimi na wewe Nani atapata likes nyingi.
 
Sifia kazi zaidi kuliko mtu,sio vizuri kusifia wanaume wenzio kupitiliza hizo ni tabia za kinabiu tito!!!
 
Jinga lao katika ubora wako
Hii ni 'Chant' kutoka kwa katibu mwenezi wa CCM ndugu Hamphrey PolePole akitest mitambo tu kwa kuwaimbisha wanaCCM huko Masaki.

Ama kwa hakika Magufuli amerejesha heshima ya CCM kwa utendaji wake.

"Wataweza kweli? ..aa wapi!
Kushindana nasi?...aa wapi!
Hata wakiungana?...aa wapi!
Matusi kututukana?...aa wapi!

Ngosha Babalao!!

Ni mimi Jingalao!! Pamoja na Babalao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutamkumbuka daima Rais wetu huyu ngojeni kidogo tu tumalize miradi yetu yote Na umeme ushuke bei Na tuanze kuuza umeme nje nchi , uzalishaji viwandani utapanda sanaaaa Mungu I bariki Tanzania endeleeni kubeza lakini maendeleo hayabagui wala hayana chamaaa hilo muelewe jamani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi mwanaccm anaweza kujifunza kupitia makosa ya nyuma au history ya mambo,Je mliokuwepo awamu ya nne msaidieni huyu mwendawazimu mwenzenu tuliambiwa gesi itashusha bei ya umeme mpaka sasa umeme umeshuka kwa asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom