Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,262
- 4,055
Kwa kifupi tu mboko zisitishwe au siyo? Au ndo yale ya junior stop, junior is not good ya jamaa mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujaelewa bandiko na majibu nnayoyatoa,tumia muda kidogo kufikiri kisha ndio uandike,bandiko langu nimeliweka kwa ujumla nikionyesha umuhimu wa baba kwa mtoto na malezi yake, sijagusia vitu vya kufanya na kuacha,Kwa kifupi tu mboko zisitishwe au siyo? Au ndo yale ya junior stop, junior is not good ya jamaa mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa na hapo ndio hekima yenyewe inapohitajika zaidi kutengeneza kiasi kwenye ubongo wako na hicho kiasi kiwe funzo kwa mwanao.Kila Kitu mtoto apewe Kwa kiasi
Sent from my iPhone using JamiiForums
hakuna mfumo dume kwenye malezi na ila ni umuhimu wa baba kwenye malezi ya mwanae,nadhani wewe ndio unashangilia mfumo dume kwa kuona ni sawa mtoto kulelewa bila baba na baba asijali athari za baadae kwa mwanae...single mother hapati hekima ya baba jibu lake nimeliandika uzuri kwenye moja ya swali huko juu kuhusu watoto waliolelewa na mama peke yake.Mfumo dume in action, VP kwa mtoto single Mather, hekima yake bado inareflect kwa baba?!?!
Safi kabisa hiyo ndio hekima inayoongelewa nadhani kwa sasa unaielewa vizuri dhana ya ukali na kufunza na kufanya kitu kwa mtoto ili atambue amekosea na hujaridhishwa nacho,zamani ulipokuwa mdogo ulikuwa unaona unaonewa sana kwa ukali wao na fimbo zao lakini kwa sasa unasema bila zile huenda usingekuwa huyu tunaekuona sasa,Ukali wa wazazi umetukuza sana, nami pia kifimbo cheza na ukali pia kwa wanangu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia tena kusoma naimani utaelewa zaidi ya hapo...na uangalie bakora nimeiandika kwa mlengo upi mkuu.Hii theory imekaa kizungu zaidi....japo nakubaliana na wewe kwenye mambo kadhaa ila kwenye bakora hapana😁