Recent content by kipenda12

  1. kipenda12

    Kumiliki gari na kukosa hela ya mafuta ni dalili ya ukichaa

    Kaondoa mkosi wa kutokufa bila kumiliki gari mana kufa mila kumiliki gari ni haibu mbinguni
  2. kipenda12

    Kilimo bora cha pilipili kichaa

    Napenda kutoa faida za zao la pilipili kichaa. Biashara hii imeshika kasi katika miaka hii ya hivi karibuni. Biashara hii ina pesa nyingi na wanunusi hawakopi bidhaa kwa wakulima.mauzo yake ni papo kwa papo baadhi ya Mikoa wanaita Dhahabu nyekundu. Tunatoa Elimu Bure na tuna masoko yenye huakika...
  3. kipenda12

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naitwa Mtwale Daudi huduma hii nimekatwa pesa na sijapatiwa nilicho lipia. Vodacom naomba msaada wa kitaaramu kwenu transactions: 1972021 M-Pesa Mastercard deducted TSH 20000.00 1572021 M-Pesa Mastercard deducted TSH 102000.00 972021 M-Pesa Mastercard loaded .
  4. kipenda12

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Habari vodacom nimefanya malipo kwa master card yetu nimakatwa pesa ila sijapatiwa huduma nilio lipia kwenye Skype yangu shida nini.?
  5. kipenda12

    Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Kabisa uko Sawa kabisa
  6. kipenda12

    Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Hayo ni mawazo yako wanavyo sema viongozi wa Dini eti kwamba mungu akosei na hashindwi kitu kwa maelezo yako hapa ni kwamba mungu anakosea na anashindwa mana nasema mpango wake sio sisi kufa. Na pia kashindwa na shetani ndo mana kamuharibia mipango yake kwetu
  7. kipenda12

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Na wanawake watapewa nini? Ila hii Dunia kiukweli wanaume ambao ndo watunga sheria wamejipendelea sana mana ata mungu wanasema mungu baba inamaana yuko na huume kama sisi kwa nini? Hawajasema mungu mama? Hii Dunia kila mtu anamawazo yake katika tafasili ya mungu. Mungu anae zungumziwa na kila...
  8. kipenda12

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Sasa hapo mbona sioni furaha ya mbinguni kwa sisi wanadamu maana anae imbiwa ndo ana furaha zaidi kuliko anae Kesha kwa kuimba vile vile ni kero kwa anae imbiwa mana makelele yatakua mengi sana kulingana na watakao kwenda huko
  9. kipenda12

    Tatizo la kupoteza/kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Nipe Mimi huyu Wewe akufai napenda mwanamke Kama Huyu ili nipate muda wa kufanya mambo ya msingi katika maisha kuliko mpenda ngono muda wote
  10. kipenda12

    Madhara ya kuchanganya kuku wasio lingana umri

    Vipi kuhusu chanjo zake. Kuku na Kanga ni sawa kuwachanganya banda moja?
  11. kipenda12

    Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

    Sijaona family yake nikiwa na maana watoto wake kuaga mwili wa marehemu? Hapa kuna kitu gani kimejificha?
  12. kipenda12

    Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

    Umetulia na kutueleza mambo kwa ufasaha zaidi. Ila siku zote Dunia akuna Adui anae Muombe Adui yake Mema kuna Huadui Kati yao juu ya hayati yetu na Hao wanao Muombe Mabaya. Ila Yayote tulipiganie taifa letu ili mmomo nyoko tunao uona Kwa sasa usitokee. Naipenda Tanzania yetu Naipenda Amani ya...
  13. kipenda12

    Matumizi ya muda

    Maisha ni Muda ukiwa kama kijana mwenye Miaka zaidi ya 40 ujafanya jambo la maendeleo lolote lile ya kufaa ufanye sasa kwa maana umesha tumia nusu ya Muda wako bila kufanya kitu. Fanya Sasa kamilisha Ndoto zako muda ulio ishi ni mrefu kuliko muda ulio bakia Tafakari na uwanze sasa
  14. kipenda12

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Kerege ipi?
Back
Top Bottom