Matumizi ya muda

kipenda12

Member
Aug 6, 2018
30
95
Watu wengi wasiokuwa na mafanikio ni Wale wasio jua na muda. Muda ni mali hawa ni wale wanaoona jua linachomoza na kuzama na pengine wanapenda lizame mapema waende kulala.

Maana hawana cha kufanya fursa hii inakupa kutambua kuwa muda ni maliasili yako ambayo unapatwa kuitumia katika kujenga maisha yako si busara hata mara moja kuwa na matumizi mabaya ya muda wakati kuna mambo mengi tu ya kufanya.

Tena huenda tu ndo umeanza safari za kutafuta maisha. Halafu unakuwa mtu wa kukosa la kufanya badala ya kukosa muda wa kufanya mambo yako mengi.

Ni heri ungechagua jambo moja kati ya mambo yanayopendwa na akili yako ukawa unalifanya wakati wote ili hapo baadae uwe mahiri kwalo pengine linaweza kuja kukutendea vyema katika maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kipenda12

Member
Aug 6, 2018
30
95
Maisha ni Muda ukiwa kama kijana mwenye Miaka zaidi ya 40 ujafanya jambo la maendeleo lolote lile ya kufaa ufanye sasa kwa maana umesha tumia nusu ya Muda wako bila kufanya kitu. Fanya Sasa kamilisha Ndoto zako muda ulio ishi ni mrefu kuliko muda ulio bakia Tafakari na uwanze sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom