Recent content by kiokote3

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mambo machache ya kushangaza kuhusu Nabii Eliya Mungu wa Majeshi

    Hakika wengi watapotea "WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA"
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali inapuuza madai ya walimu?

    Mimi kama mwalimu serikali yangu imeniaminisha kuwa inapuuza madai ya waalimu mana kama isingalikuwa hivyo basi wangeyalipa kwa wakati husika.
  3. K

    JamiiForums Tanzania This week in Perspective: Kipindi kinamlenga nani?

    Mstari wa biblia unasema "watu wangu WANAANGAMIZWA kwa kukosa maarifa"
  4. K

    JamiiForums Tanzania Transifered students (TCU)

    poa nataka kujua ili transfer ya my loan walau itashugulikiwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Transifered students (TCU)

    Wandugu mwenye taarifa kama list ya transfered students ishapelekwa loan boart anijulishe tafadhali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha loan

    nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako
  7. K

    JamiiForums Tanzania East Africa Should Let Tanzania Go...

    then we are glad to let the intergration go. We are better of without the EAC and we can make it despite the current situation in our Tanzania
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    tatizo mmezidi kuwa na idadi kubwa ya sikukuu, ila kwani shukuru kawambwa naye ni mgalatia?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    si bora yeye ambaye hakuiba akaweka mfukoni kwake, ukitaka kujua hili nenda monduli ukaseme ni mwizi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    and also Tanzania isnt formed by zanzibar and pemba, its the unification of Tanganyika and Z'bar whereby Z'bar includes unguja and pemba!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Juu ya Kuandaa Majani Chai ya Mlimao

    Unayachuma na kuyaosha then unachemsha na maji na sukari, kama nakumbuka vizur enz zile at ma grany kule kijijini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi juu ya Mahusiano ya Wakristo na Waislam kujenga amani ...

    Mbona mwahangaika sana kumtetea mungu wenu? Au hawezi kujitetea? Mungu aliye hai hawezi kutetewa na mwanadamu ambaye yeye mwenyewe (MUNGU JEHOVA) amemuumba. Wake up!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwuce

    Kwa wale mlioripoti Mwenge tunaomba mtujuze yaliyojiri.
  14. K

    JamiiForums Tanzania JF hembu tujuane kwa njia hii mimi nipo

    Arusha
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata nafasi duce/udsm

    Asante ndugu kwa kunijuza, itabidi nikomae 2 hukuhuku
Back
Top Bottom