Naomba Msaada Juu ya Kuandaa Majani Chai ya Mlimao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada Juu ya Kuandaa Majani Chai ya Mlimao

Discussion in 'JF Chef' started by Kimbori, Sep 23, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Heshima zenu wote.
  Niliwahi kusikia ya kwamba ndugu zangu Wakristo - Wasabato (samahani kwa kutaja dini, lakini kwa nia njema kabisa) huwa wanafundishwa mbinu za mapishi ikiwamo kuandaa vyakula kwa njia ya kiasili.
  Mimi naomba ,kutoka kwa yeyote anayejua,maelezo juu ya mbinu za kutengeneza majani chai kutokana na majani ya mlimao. Naamini wengi wenu mnaweza, naomba kuwakilisha.
   
 2. k

  kiokote3 Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unayachuma na kuyaosha then unachemsha na maji na sukari, kama nakumbuka vizur enz zile at ma grany kule kijijini
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nasubiri zaidi jinsi ya kutengeneza hayop majani. tuepukane na haya ya viwandani.

  Mwenye kujua zaidi plz
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Niliwahi kusikia ya kwamba kuna utaalamu wa kuyaandaa ili yadumu muda mrefu.
  Wadau tunaomba ufafanuzi wenu! Elimu ya kuboresha vyakula asilia ni muhimu sana.
   
Loading...