Waraka wa wazi juu ya Mahusiano ya Wakristo na Waislam kujenga amani ...

Mbona mwahangaika sana kumtetea mungu wenu? Au hawezi kujitetea? Mungu aliye hai hawezi kutetewa na mwanadamu ambaye yeye mwenyewe (MUNGU JEHOVA) amemuumba. Wake up!
 
kwa hii list mtafanay lolote tu

Rais wa Tanzania Jakaya Khalfan Kikwete

Makamu wa Rais-Ghalib Bilal
Jaji mkuu wa Tanzania-Mohamed Chande Othman
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania-Hussein Kattanga
IGP Tanzania –Said Mwema
Kanda Maalum (polisi) Dar Suleiman Kova

List inaendelea
 
Sawa kabisa umenena kuwa Muhamad alikuwa na Mungu wake tofauti na hao unawaita Makafir Ndio sababu ni Dhaifu wa Kupiginiwa wa Visasi na kutishia kuwachinja watu kwa kwa ajili yake Wao wanaye Mungu mwenye Nguvu hekima na amani kamwe hawaui kwa ajili yake.
 
mr fazaa ni kweli inasemekana uislamu ni fastest growing religion lakin kuna vitu viwili njia ya uzima na njia ya mauti kukubali Kristo au kumpinga Kristo ukiwa kwa muhhamad we ni mpinga kristo tu,
ukuaji wa uislam ni kero kama ukuaji wa maovu mengine kwa sasa kuna 1 bn moslem around the world je wakiongezeka itakuwaje, kuongezeka kwa waumini si jambo la kujisifia hata free mason wanaongezeka wauaji wanaongezeka waongo wanaongezeka n.k .
ukisema Yesu si mungu wewe hujui kusoma biblia and bible is spiritual not like quran ukitafuta statement moja inayosema Yesu ni Mungu utakuwa hujui kuwa Yesu alitumia more parable in his sermon.
makundi mengi ya kigaidi ni ya kiislam more than 90% in the world.
very chaotic religion in the world.
i pray that islam banish in dar es salaam and any part in our country.

to whom are u praying to? the loving God cannt banish.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ulikua unabudu nini kwanza
Kuishi tulishi kama ndugu
majani mababu wa mababu wa mababu wa mababu wa mababu yangu walikua wanaabudu milima,mvua na kadhalika. kulikuwa na wengine wakiabudu mito au jua lakini wote waliishi kwa amani pamoja na tofauti za uabuduji.
 
nijuavyo mimi dini haitamfanya mtu airithi mbingu, kwani Mungu alishasema dini safi ni hii kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujitenga na ya dunia usitende dhambi. so uwe mwislam ama mkristo mtaishia tu kuekeana chuki pasi sababu za msingi.

Hapo kwenye bold, hili nalo ni neno la msingi sana, ingawa banadamu hawa ni wagumu wa kuelewa. Migogoro tuliyonayo hivi sasa ya kidini inatokana na kutokuheshimu imani za watu wengine na pia wengine wa imani tofauti kusoma vitabu vya imani nyingine na kuvichambua kwa upeo wa akili zao wenyewe na hivyo kujikuta wanapata tafsiri zisizo sahihi. Cha kushangaza wanang'ang'ania tafsiri hizo ambazo ziko wrong kana kwamba wao ni viongozi wa hiyo dunia ...

Akili nyingine huwa zinanishangaza mno ....
 
Sisi hatutaki chochote
tunachotaka zanzibar huru na muungano hatuutakiiiiiiiiiiiii hapo tena
fitna zote Zitaisha

halafu dadangu unaonekana mzuri!ntakutafuta.ujiandae kuja bara afu mie mkris....aah!nimeharibu!
 
HousePower Napenda uoni wako, Lkn
1.0 Nani kati ya Waislam na Wakiristo anayewafundisha wengine kuwa kitabu cha wengine ni cha mashetani? -kwa hapa ni wakirito-ebu sasa waonye na usikubali hilo kutendwa kwa watoto wetu
2.0 Je, unadhani kuna haki sawa miongoni mwa dini hizi mbili hapa Tanzania katika kufikia ufanisi sawa bila kupendelewa au kubanguliwa tangu ukoloni mb=paka uhuru-jifunze na utafakari kisha saidia kufikia muafaka
3.0 Unadhani kuna sababu ya msingi ya serikali kuikumbatia Bakwata na kuacha jumuia nyingine za waisalam kama wadandizi tu na watazamaji? Jifunze na kushauri kupitia hapa JF
4.0 Unadhani waislam wasioipenda bakwata wana kosa kutokana na ukweli kwamba wanaoona Bakwata haina mslahi ya kimaendeleo kwa waislam? Pambua na kisha shauri serikali kuiona jumuia zote za waislamzina haki sawa
5.0 Je unadhani kuna mantiki ya mkutano wa dini (wakiristo na Waislam) kuihusisha TEC-hapa ni jumuia mbalimbali za wakiristo bila kujali madhehebu yao) na waislam wa bakwata pekee na kuacha wengine nje ilihali tukiamini kuwa wale wa nje ndo wanadaiiwa kusababisha vurugu na fujo? Soma na kisha fafanua kwa wana JF
mwisho nakupongeza kwa kuitaka amani ya nchi lkn nadhani ni sharti ijengwe kwa misingi ya haki na uelrewano zaidi na siyo kwa misingi ya uonevu na ubaguzi ulipo.
 
mr fazaa
idea ya utatu haimfanyi mungu kuingia peponi kama unasoma biblia soma injili ya yohana na kitabu (nimenukuu gospal ya Yohana)
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;


alafu quran si kitabu cha Mungu ati kabisa kina makosa yafuatayo yanayotia mashaka kuhusu imani hii.
1. hakuna mtume hata mmoja kwenye biblia aliyuepata utume kama alivyopata muhhamad kwani anadai alitokewa na malaika ambaye hakujitambulisha badaye wakaclaim kuwa ni gabriel kitu kisicho cha kweli kwani gabriel alijitambulisha kwa watu wote aliowatokea. hivyo muhhamad alitokewa na jini kama yeye mwenyewe alivyozani.
2. roho mtakatifu na malaika gabriel kwenye kuran ni the same thing kitu ambacho ni uongo.
3. huyo anayejiita allah mabaye anapinga kwamba yesu hakufa bali alimbadilisha mtu mwingine kimiujiza anapingana na biblia 100%.

rejea isaya 53:12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.1 Wakorintho 6:14 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
1 Wathesalonike 1:10 na kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye alimfufua katika wafu, naye ni Yesu, mwenye kutuokoa na ghadhabu itakayokuja.

4. quran inafundish ushirikiano baina ya majini na binadamu kinyume na biblia kwa kuwa hao ni malaika wa shetani hatutakiwi kushirikiana nao Mungu atatulinda kwa malaika akataka kutupa ulinzi na si majini.
Zaburi 91:11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.

5. quran inasema allah hashirikiani na chochote alichofanya tofauti na Mungu wa kweli ambaye alimtumia Mussa na aliongea naye ana kwa ana lakini allah hajawahi kuzungumza na mtu ana kwa ana na wala hashirikiana na watu amejitenga.

6. vile vile allah alituma malaika wake maluti na haluti kuja kuleta uchawi lakini kwetu sisi uchawi ni kazi ya shetani shetani alivyopigana vita na majeshi ya Mungu alipigwa na alitupwa na uwezo wake hakunyang'anywa huo uwezo ndio uchawi na maovu mengine mengi kufuga majini, kupiga ramli,

7. biblia inasema hakuna uchwai unaoweza kufanikiwa juu ya mtume wa Mwenyenzi mungu au israel au Yakobo lakini muhammad alishafanyiwa uchawi na kuvurugwa akili so hutakiwi kunfuata angekuwa mtume wa Jehova uchawi usingefanikiwa kwake.

jitahid usome injili ya yohana achana na mashahiri ya muhhamad kabisa mimi mwenyewe nilikuwa muislamu (nasema kweli for Christ's sake) nilibadili nilivyofika chuo baada ya kuujua ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Assalaam a'laikum
,Jamani waislaam wenzangu wote tutulie hatakamaa tunachokozwa tuwaachie
Allah {SWT}hakika yeye ndomwenyekuhukum kwani hawa makafiri chokochoko
nauchokozi hawajauanza leo kwani hata enzi za nabiiMuhammad {S.A.W}Mpaka
kumfukuza Makka na kwenda Madina na pia tujaribu kuwavumilia kwani hata
mtume Muhammad (S.A.W) wakati ikijibizana nao hawa hawa makafiri
Mwenyezi Mungu{S.W.T}alimteremshia aya na kumwambia:wambie enyi makafiri
siabudu mnachokiabudu,walanyinyi hamuabudu ninayemuabudu,wala sitaabudu
mnachoabudu,wala nyinyi hamtaabudu ninaye muabudu,ninyi MNADINI YENU na
mimi NINIDINI YANGU. Hivyo nawaasa tu waislaam wenzangu kuawenye subira
na nyinyi WACRISTO acheni uchokozi na kudharau dini za wenzenu pia
unapomfundisha mwanao mazuri ya dini yako, usimfundishe ubaya wa UISLAAM
kwani utamfanya awe nimwenye kuchukia UISLAAM,vitabu vya kiISLAAM na
WAISLAAM wenyewe kitu kinachoweza kuhutarisha amani yetu adim tuliyonayo
Tanzania ~KAGOMA BIHUSI.

ndg yangu makafiri walioshindana na Mtume walikuwa wapagani waabudu sanamu wala si wakristo.usipotoshe!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom