tufanye vyote as a man usijemuachia zile traditional responsibility mkeo eg kulipa kodi ya nyumba, kama mnajenga kiwanja ulinunua ww or both, unga, mchele si mbaya ukimuachia mambo ya mboga, matibabu lipia mme, umeme luku, maji
fenicha za muhimu kitanda unachomfanyia operation, meza ya...