Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Aaaaha umeuliza vyema sana.mzima lakini
yah fine!!
Aaaaha umeuliza vyema sana.mzima lakini
Usiwasikilize hawa wakurya humu ndani wasiojua malovee.endelea kumpet pet wife to be hivyo hivyo.anakupenda na wala hamaanishi anapretend tuu kuwa hakuamini.
Ndugu zangu my wife 2 be haniamini kabisa, nimejaribu kufanya kila niwezalo mfano; kumuachia simu yangu nikiwa nae, whatxap yangu yupo free, password ya FB, instargram zote anazijua, kupenda kutoka nae kila inapowezekana but imani yake kwangu ni ndogo sana na of coz mimi sina mchepuko kabisa. Mwenzenu cjui nifanyeje, msaada wenu pliz kuokoa mahusiano yangu.

ina maana anakuambia tu sikuamini au kuna maeneo ambayo anaonyesha yanamtia mashaka? kama yapo na yanaweza kurekebishwa basi yarekebidshe..kama ni simply tu hakuamini basi ni hivi:
Jeshini tuna kitu kinaitwa "creating diversions" sasa hiyo kakutengenezea wewe ili focus iwe kwako tu..badala ya kum-analyse yeye you will always be busy kumdhihirishia kuwa you are clean and in the mean time yeye huku watu wanakula kidot
Keshakuona juha maana inaonekana kila analotaka linafuatwa..simama kama mwanaume sasa..ikishindikana basi mpige chini maana sasa hamna jinsi wala corduroy.