Recent content by kinjo

  1. K

    Moyo kwenda mbio

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mgonjwa alienda kupima ecg akaambiwa ana short pr interval naomba kujua matibabu yake na kama inatibika na kua katika hali ya kawaida. Shukrani
  2. K

    Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

    Unaangalia vitu vingi sio kwa dunia ya sasa wale walistaarabika kitambo na teknolojia yao ilikua juu hivyo wakatawala kirahisi tena kwa nyenzo mbalimbali kama elimu,dini na ideolijia zao zikawafanya wawe na nguvu
  3. K

    Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

    Unakosea unavolinganisha hivyo angalia uhalisia kuna vitu vingi vilikua nyuma ya israel google na tafuta historia hata hao waasi huko DRC kuna mataifa yako nyuma yao mi nalikataa hasa kwa nchi za afrika udogo wake ndo umaskini na nguvu ndogo yake
  4. K

    Hili jambo tuseme inatosha: Serikali kushindwa kudhibiti wizi wa data mitandaoni

    Jana tu nimetoka kugombana na airtel salio la gb ni 4.88 lakini sipati huduma ya internet tangu saa 10 jioni hadi saa 2 usiku ikabidi niongee na wahudumu wa 2 wadada wa customer wakanambia nina 0 mb daah ndo mana sipati huduma ya internet sikuridhika nikapiga tena nikaongea mhudumu wa 3 kwa...
  5. K

    Wadada wa kazi (house maids) siku hizi ni pasua kichwa

    Mimi hua nawarudisha kwa kuwapandisha bus mwenyewe ubungo sasa akashuke mbezi atajua mwenyewe ila nauli simpi mkononi
  6. K

    Madereva wa zamani wa DC Kilolo, Asia Abdalah wazungumzia vituko vya bosi wao

    Ukiona mbuzi yuko juu ya bati ujue kapandishwa hajapanda mwenyewe
  7. K

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Kuna mzee mmoja hua anasema"Natega mpaka mwenyewe najiogopa" basi hapo ujue ushaingia kwenye copy kinachofata ni kipigo tu
  8. K

    Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

    Sinza kituo cha mabasi kinawezwa kuwekwa wapi ili daladala zianzie hapo na kuishia hapo ?
  9. K

    Tahadhari: Wakazi wa Dar jihadharini na matapeli hawa

    Ongeza nyama ndugu utaeleweka vizuri tu
  10. K

    Mabasi haya mnayakumbuka?

    Ndege mnana huyu alikua anakaa nyuma ya nyumba kutokana ushirikiana wake kwa sasa hana ishu mjini yupo yupo familia yote imemkimbia ana ungaunga tu kwa watu uchawi noma sana!
  11. K

    Ufungaji wa mziki kwenye gari... Nani mkali wao?

    Dick anadharau sana kama sio celebritt kwa kweli customer service mbaya sana niliwai kupeleka gari yangu kwake nikatoka najiskia vibaya kwa huduma mbovu
  12. K

    Giza nene linakuja Tanzania Punde. Tujiandae...!

    Sasa kama haki ya binadamu na ushoga si wazungu wanadai ni haki ya binadamu acha kujitekenya na kucheka mwenyewe unless uwe umetumwa sio bure yani huoni tatizo kabisa hapo au na wewe ni mmojawapo?kama hali ya uchumi kua mbaya nchi ngapi maskini zipo chini yetu kuliko kuendekeza bora wasije tu...
Back
Top Bottom